Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Mbunge wa Tarime Vijijini (CHADEMA), Mh. John Heche, akiwa kwenye mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Buyungu, Marehemu Kasuku Bilago katika Wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma, alimtaja Marehemu Bilago kuwa alikuwa mmojawapo wa Wabunge 10 bora wa CHADEMA katika Bunge la Jamhuri ya Muungano.
Kauli hii imenifanya nijiulize sana kwamba, CHADEMA kina Wabunge jumla ya Wabunge 70 kati yao wa kuchaguliwa 34 na wa kuteuliwa ni 36. Orodha ya Wabunge hao ni ifuatayo:
Sasa, John Heche ametumia mzania gani kumtaja Marehemu katika top 10. Kama kuna top 10 ya Wabunge bora ndani ya CHADEMA, basi kutakuwepo pia top ten ya Wabunge vilaza kwenye Chama hicho. Sasa, Wabunge wapi ni vilaza?
Wataalamu wanaeleza kuwa ukitaka kujua tabia ya mtu, mpe pesa lakini ukitaka kujua tabia ya mwanasiasa, mpe madaraka.