John Edwards has proposed to his mistress!

kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,467
6,494
John Edwards has proposed to his mistress whom he also has a baby with. Kumbe nyumba ndogo inaweza geuka kuwa nyumba kubwa? Haya tunayosema kila siku, jamani kaka zetu hamchoki?????????!!!!!!!!!.......makubwa!

Source:The enquirer
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Toka zako hapa unafikiri wote tuko saluni....kwanza hata source hujaweka. Kui vipi bana?
 
Safari ijayo usisahau, sawa?

Sawa kaka, unaonaje lakini jamaa kaamua kuweka kambi na kuchukua jumla kabisa nyumba ndogo. What If he won the democratic nomination or, and even the Presidency for this matter?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kui kama sheria haimzuii na hajavunja mkataba wowote, basi kila la kheri. Tatizo ni kama amesigina sheria na mkataba. Pia kama anaoa kwa gharama zake na si za walipa kodi, sawa tu
 
Sawa kaka, unaonaje lakini jamaa kaamua kuweka kambi na kuchukua jumla kabisa nyumba ndogo. What If he won the democratic nomination or, and even the Presidency for this matter?

upweke nao mchungu dia, kama hujawahi kuwa mpweke unaweza kudhani mjinga, lakini waliowahi kuwa wapweke wataheshimumawazo yake na kumuombea heri.

ya nini kuendelea kuishi na mwanamke asiyeisa vituko eti kisa ndoa? na kwanini uishi bila mwenzi wakati wakupendao na uwapendao wapo???????
 
Very true ndugu, we're humans and we make mistakes but maaan!, I think you guys sometimes (or most of the times) don't think straight when you face temptations. where do your ego go in times like that?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama mke wake kaamua kumdivorce sioni neno. Kama anaachana na mkewe sooner or later he would have gotten married to another woman....why not the woman he has a child with?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom