miaka mingi jimbo limeongozwa na chama kongwe lakini matatizo yapo pale pale ila kaja kijana nasali kajitaaidi kuweka mambo sawa ila anawangiwa na chama kijani wana arumeru chaguo lipo kwenu sisi yetu macho na ushauli kwenu kuchagua litakalo wafaa lipo mikononi mwenu
Wewe siku zote hunaga hoja za maana zaidi ya ujinga tu.Tueleze maendeleo ya huko kutoka kwa Mbunge aliyeondolewa.. yaani alifanya nini.. labda utasaidia kutupa picha ya alichofanya na ikaeleweka ya uzi huu sio ya kweli.
Ccm imeliongoza hilo jimbo kwa miaka kadhaa, ilifanya nini? Cvm imeongoza hii nchi kwa miaka yote, hakuna kilivhofanyika.Tueleze maendeleo ya huko kutoka kwa Mbunge aliyeondolewa.. yaani alifanya nini.. labda utasaidia kutupa picha ya alichofanya na ikaeleweka ya uzi huu sio ya kweli.
Boda kubwa la kuelekea Zimbabwe .Hizo kanda mbili za mwanzo; yaani, "Ukanda wa pesa, na Ukanda wa Udikiteta" umeelezea vizuri hizi zinajulikana zilipo.
Na huo wa tatu je, upo wapi "ukanda wa kupendana daima kimaslahi"?
akipita bila kupingwa hakuna pesa itatumika. hakutakuwa na uchaguzi. wanamtangaza wanamwapisha maisha yanaendelea.Ovyo kabisa badala ya kuwaza fedha za walipa Kodi zinavyotumika ovyo, mnawaza madaraka tu.
Kurudia uchaguzi zinatumiaka zaidi ya bilioni4, wakati kutwa Serikali inakimbizana na Wamachinga walipie hata 20,000 na hawana.
Nadhan tulikusahau sasa tunakuletea mikakati huko huko Ngokolo shinyanga ili ukalime vizur subiri 2020Ovyo kabisa badala ya kuwaza fedha za walipa Kodi zinavyotumika ovyo, mnawaza madaraka tu.
Kurudia uchaguzi zinatumiaka zaidi ya bilioni4, wakati kutwa Serikali inakimbizana na Wamachinga walipie hata 20,000 na hawana.
Tueleze maendeleo ya jimbo la KongwaTueleze maendeleo ya huko kutoka kwa Mbunge aliyeondolewa.. yaani alifanya nini.. labda utasaidia kutupa picha ya alichofanya na ikaeleweka ya uzi huu sio ya kweli.