bichwa mtoto
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 274
- 563
Hii kitu ni ya kimkakati hawa jamaa si wajinga hivyo classified kama hiyo kuiweka wazi hivyo haiwezekani hapo ni kutaka watu waanze kutambua mpango wao wa kuivamia venezuela ili siku wakiingia dunia angalau wanakuwa hawana taharuki sana pia inaweza kuwa ni kuwazubaza wapinzani wao ambao watalinda zaidi mipaka ya nje na kusahau ndani na kuamini mpaka wa colombia kuwa ndo njia watakayotumia kumbe tayari washaingia tayari venezuela ni muda tu wanasubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app