John Bocco anaweza cheza mechi ya Simba na Yanga tarehe 30/09/18 TFF wakitaka.

Binafsi nafaham kuwa John Boko anastaili kukosa Michezo miwili (2) kwa straight red card aliyopata. Kadi nyekundu ya moja kwa moja na nikienda mbali zaidi sidhani Kama tifutifu wataishia hapo alipoishia refa Kwani hata Kama referee report haitaonyesha kuwa Boko alipewa kadi nyekundu kwa kumpiga ngumi (kumshambulia) mchezaji wa team pinzan basi zile kamera zinazotumikaga kwa JUMA S NYOSO BASI ZITAFUTWE MAANA MMMMHHH
Wakubwa wakuamua lao hakuna wa kuwapinga mkuu, tusubiri kwani tarehe 30 bado.
 
Hapa simba hajafunga mengi but msimu uliopita ndo best player wa vpl...alafu huu Uzi ni wa John Raphael bocco sio wa tambwe so kama kuna vitu unataka kumsifia anzisha thread ya kumsifia hukatazwi....
Tena ni kuhusu TFF kumruhusu au kutomruhusu kama sheria inavosema kucheza mechi ya tarehe 30/9 kati ya timu yake na Yanga. Si vingine.
 
Back
Top Bottom