Johannes Rebmann: Mtu aliyegundua mlima Kilimanjaro

Hilo ziwa Victoria ningekuwa Mbunge wa EALA ninge table hoja binafsi kwa maslahi ya umma kubadilisha jina toka Lake Victoria (Queen Victoria) kuwa ziwa Nyanza au Nyanja. Hii ni kwasababu Kenya jimbo/mkoa unaopatikana ziwa hilo unaitwa Nyanza Province, Tz nako makabila mengi yanayozunguka ziwa hilo yana msamiati unaoitwa Nyanja ukimaanisha ziwa, kwa upande wa Uganda nako msamiati Nyanja upo, hivyo Nyanja au Nyanza ni standard derivative compound noun which is eulogious in instinct kwa nchi zote zenye share kwenye ziwa hili Tz 51%, Kenya 6% na Uganda 43%.
Mpaka mwanzoni mwa miaka ya 1980 liliitwa ziwa nyanza. Tuliokuwa shuleni miaka hiyo tuliijua kwa jina hilo na hata Atlas za wakati ule ziliaonyesha ziwa hilo liliitwa Ziwa Nyanza. Baada ya Mwinyi kuwa rais hasa baada ya uchaguzi wa 1985 ndipo vurugu za kubadili mifumo ya elimu zilianza na likaanza kuitwa Ziwa Victoria na Mkoa wa ziwa magharibi ukaitwa Kagera.

Nina uhakika ulikuwa wivu wa kijinga wa Watanzania maana waliona jina hilo linawakilisha province ya Nyanza iliyoko Kenya kwa Waluo.
 
Mitaala ya nchi zetu hizi inaamuliwa na kutengenezwa na wazungu kwa kivuli cha Unesco tena inakuja na masharti ya lazima na pia inakuja na ahadi za misaada na mikopo kama mtaitekeleza. Kuna wakati michezo iliondolewa mashuleni, wakwe zetu wazungu walitaka michezo ife ili tukose sifa za kucheza makombe ya dunia kwenye michezo mbalimbali. Wanatupa mitaala inayotufanya tuwe exposed kwenye vitu vyao na kuvipenda. Waarabu waliwastukia wakawa na kampeni ya kukataa elimu ya Magharibi (Boko Haram yaani Elimu ya Kimagharibi ni Haramu).
Sijui habari zako unatafuta wapi? Mitaala ya Tanzania hakika zilitengenezwa hapo ndani. Pamoja na ugonjwa mkuu wa mfumo wa elimu: kufundisha watoto kwa Kiswahili hadi darasa la 7 halafu kuwaza kuanzia farasa la 8 = Form I watajifunza kitu kwa Kiingereza. Ambacho haiwezekani, na mafanikio imeshindikana kwa miaka mifululizo. Simjui mtaalamu yeyote kimataifa anayeona ni kitu kizuri.

Naona heri kuacha kulio eti wako hao wabaya wa nje (mabepari, weupe, buluu, sijui nani tena) ambao kwa sababu zisizoeleweka wanataka kuzuia mafanikio ya nchi hii. Nguvu iko ndani, inapatikana na inazuiliwa hapa ndani.
 
Ni maajabu sana. Kulingana na machapisho mbalimbali mlima maarufu unaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 3 million iliyopita hakuna mkazi yeyote wa aliwahi kujua kuna mlima mrefu kaskazini mwa Tanganyika hata wale wakazi wenyewe hawakujua 😁.

Johannes Rebmann.

Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na bwana Johannes rebmann ambaye alikuwa mmissionary kutoka Ujerumani mnamo 1848.

Kutokana na bwana huyo aliyekuwa na mwenzake aitwaye Johann Lidwig Krapf, habari ziliweza kusambaa maeneo mengi ya ulaya kuwa kuna mlima wenye kilele cha barafu karibu sana na ikweta. Lakini habari hizo hazikuaminika kwa watu mpaka miaka kadhaa baadae.
Hahahahahahah wanazingua mlima ulikuwepo na wachaga walikuwa hapo tena wengine wakiuabudu kabisa
 
Aibu kubwa sana. Upo umuhimu wa kuandaa vitabu vya historia viendane na uhalisia ulioopo. Hii habari walisoma mababu zetu kwa kutumia vitabu vya mzungu, haiwezekani tuendelee nayo. Kama watoto wanasoma hivi, itakuwa wanapotoshwa
Wapi kitabu cha shule kinachosema Rebmann aligundua mlima? Sijaona. Nashangaa watu wakilialia mabaya ambayo yapo kwao kichwani tu.
 
Hahahahahahah wanazingua mlima ulikuwepo na wachaga walikuwa hapo tena wengine wakiuabudu kabisa
Huyu ndie mwamba aliewazidi akili wachaga.
johannes-rebmann-04365686-6088-4fb1-8522-f039cf564aa-resize-750.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom