kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,664
Ni miongoni mwa wasanii wachache waliofanikiwa kumaintain kwenye game hii ya bongo yenye vikwazo kibao, ameweza kutoa nyimbo nyingi zilizofanikiwa kubamba kwenye Redio na Tv's ingawa sina hakika kama mafanikio haya yanaendana na kipato chake.Ni msanii wa Hiphop, muziki wake hauko ki-hardcore wala hauko soft sana, nadhani ndicho kilichofanya adumu kwenye game, kwa upande wa lyrics zilizoshiba sio mkali sana (kuna wengi wanamzidi), ila anauwezo mkubwa wa kumake 'good music' i mean mziki unaosikilizika . Tujikumbushe ngoma alizowahi kutoa zikabamba, hizi ni baadhi nazozikumbuka kwa haraka;
1. Hawapendi
2. Hao
3. Stimu zimelipiwa
4. Mfalme
5. Ni zamu yangu
6. Bye Bye
7. Chochote
.............
Na huu unaosumbua sana sahivi "WANAKEMEA MAPEPO"
#Via_Sifia mtu kabla hajafa
1. Hawapendi
2. Hao
3. Stimu zimelipiwa
4. Mfalme
5. Ni zamu yangu
6. Bye Bye
7. Chochote
.............
Na huu unaosumbua sana sahivi "WANAKEMEA MAPEPO"
#Via_Sifia mtu kabla hajafa