Joh Makini Mwamba wa Kaskazini

kende

JF-Expert Member
Dec 2, 2013
3,527
1,664
Ni miongoni mwa wasanii wachache waliofanikiwa kumaintain kwenye game hii ya bongo yenye vikwazo kibao, ameweza kutoa nyimbo nyingi zilizofanikiwa kubamba kwenye Redio na Tv's ingawa sina hakika kama mafanikio haya yanaendana na kipato chake.Ni msanii wa Hiphop, muziki wake hauko ki-hardcore wala hauko soft sana, nadhani ndicho kilichofanya adumu kwenye game, kwa upande wa lyrics zilizoshiba sio mkali sana (kuna wengi wanamzidi), ila anauwezo mkubwa wa kumake 'good music' i mean mziki unaosikilizika . Tujikumbushe ngoma alizowahi kutoa zikabamba, hizi ni baadhi nazozikumbuka kwa haraka;

1. Hawapendi
2. Hao
3. Stimu zimelipiwa
4. Mfalme
5. Ni zamu yangu
6. Bye Bye
7. Chochote
.............

Na huu unaosumbua sana sahivi "WANAKEMEA MAPEPO"

#Via_Sifia mtu kabla hajafa
 
Jamaa ni fundi wa flow, punch, na uandishi.

Hao ndo ilifanya nianze kumjua nadhani hiyo ilikua 2004/5 hivi since that time sijawahi kuichukia ngoma yake.

Ni msanii pekee wa Hip Hop bongo ambae ana heats nyingi in this decade.
 
Joh ni noma.. Noma sana... Sina wa kumlinganisha nae kwa sasa.

At his Best..
 
joh mkali sana..verse zake kwenye ngoma ya nje ya box ni noma.."kama ile simpigi demu..nachukua sharia kiunoni me I kill them"
 
Makini Joh wa Simo... huyu ndio ma favourite artist kwa upande wa hip to hip hop!!!!
Big up home boy
 
Joh Makin akiwa mchafu hip hop haitakuwa n wasanii wasafi.... jamaa yupo smart na swag nzur pia
 
Mi penda sana joh, tena usmart wake ndo huwa unachanganya kabisaaaa, he's so talented na anajua kucheza na mind za waskilzaj wake ndo maana hatachuja.yan m kila nyimbo yake kwang its amaizing
 
Back
Top Bottom