Jogoo kuwika usiku wa manane

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Tumezoea kusikia jogoo wengi wakiwika adhuhuri na wale wanaowika labda saa 5,6,7,8 usiku kuna tatizo lolote?manake jamii nyingine watamchinja uyo jogoo.
Kuna nn apo mpaka achinjwe?
 
Ungetuambia umeona jamii gani ikifanya hivyo?....
 
Tumezoea kusikia jogoo wengi wakiwika adhuhuri na wale wanaowika labda saa 5,6,7,8 usiku kuna tatizo lolote?manake jamii nyingine watamchinja uyo jogoo.
Kuna nn apo mpaka achinjwe?
Uyo jogoo kuwika usiku wa manane anakukumbusha baba mwenye nyumba ukumbuke kumpanda mkeo! Eeboo sasa wewe kulala kifudi fudi mwanzo mwisho ndo maana Jogoo anakasirika sasa, mshukuru Jogoo wako mkuu
 
Oode maaa
 
Juzi tu tumemchinja mmoja aliwika saa 3 usiku aliwika siku ya kwanza tukakausha tukajua kajichanganya mara ya pili akapigwa kisu kwa mujibu wa wazee wanasema akiwika mapema uwa wanaleta mikosi ndani ya familia..
 
Majogoo ya kisasa hayo hayana muda maalumu wa kuwika. Ya kienyeji yana muda maalumu wa kuwika.

Umenikumbusha ule msemo wa vijogoo vingi vinauharibu usiku.
 
Afadhali hata umekuja na ushaidi manake nlishaambiwa ni jamii ya kenge au vyura...ungeniwekea hata utumbo na miguu mkuu nipike supuu
 
Majogoo ya kisasa hayo hayana muda maalumu wa kuwika. Ya kienyeji yana muda maalumu wa kuwika.

Umenikumbusha ule msemo wa vijogoo vingi vinauharibu usiku.
Tuzungumzie ya kienyeji mkuu
 
Kikwetu pia ni vibaya akiwika mapema maana yeye anatumika km filimbi ya kuitia wachawi. Kisu kesho yake ni halali yake.Imani ya kikwetu
 
Hamna lolote. Sehemu za wavuvi wa dagaa jogoo wakiona mwanga wa karabai iwe saa 7 au nane wanawika, imani ovyo. Kuwachinja ni kisingizio kutaka kuwala nyama. Wilaya ya Ukerewe kuna kisiwa kinaitwa Kweru, kuku huwika saa 7 kuna mkosi hapo?
 
Back
Top Bottom