Joel Bendera atunukiwa shahada ya uzamivu, sasa kuitwa Dakta Bendera

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na mmoja wa wanasiasa machachari nchini ndugu Joel Bendera, siku ya jana ameweza kutunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu kutoka chuo kikuu cha California State University cha nchini marekani (USA) Makamu mkuu wa chuo hicho alimtunuku ndugu Joel Bendera phd hiyo katika tafrija ndogo iliyofanyika viwanja vya ikulu ndogo mjini Morogoro! sambamba na hilo ndugu Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Goodluck Ole Medeiy naye pia alitunukiwa shahada hiyo ya heshima ya uzamivu.
Hongera sana Dakta Joel Bendera
source: Abood Tv
 
Unampongeza kwa lipi kubwa alilolifanya? migogoro ya ardhi tu inamshinda kutatua mkoani kwake..upuuzi.com leo wakulima wamefunga barabara ..PhD mavi ya kuku..
 
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na mmoja wa wanasiasa machachari nchini ndugu Joel Bendera, siku ya jana ameweza kutunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu kutoka chuo kikuu cha California State University cha nchini marekani (USA) Makamu mkuu wa chuo hicho alimtunuku ndugu Joel Bendera phd hiyo katika tafrija ndogo iliyofanyika viwanja vya ikulu ndogo mjini Morogoro! sambamba na hilo ndugu Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Goodluck Ole Medeiy naye pia alitunukiwa shahada hiyo ya heshima ya uzamivu.
Hongera sana Dakta Joel Bendera
source: Abood Tv

nilijua amesomea bwana kumbe ni zile za kina dr kikwete..
 
Labda tueleweshane kuhusu degree za heshima. Heshima kwa njia mbalimbali zinatolewa kwa watu kutokana na michango yao katika nyanja mbalimbali k.m.f. michezo - Sir Alex Ferguson, huku Afrika kuna Uchifu wa heshima , wengine kupewa ufunguo wa jiji, hata uraia wa heshima unatolewa.
Si vizuri kuchanganya degree za heshima na degree za kusomea na kufanya mitihani. Wengi wanaopewa shahada za heshima hawazihitaji kwa kutafutia kazi . Hata wasomi wanasayansi wenye shahada lukuki wanapewa shahada za heshima katika taaluma kama sheria, tofauti na fani zao.
Kuwapongeza watanzania mwenzetu wanaopewa shahada za heshima na vyuo maarufu nchi za nje au hapa nchini ni jambo la uungwana na mara nyingi ni heshima kwa Tanzania.
 
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na mmoja wa wanasiasa machachari nchini ndugu Joel Bendera, siku ya jana ameweza kutunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu kutoka chuo kikuu cha California State University cha nchini marekani (USA) Makamu mkuu wa chuo hicho alimtunuku ndugu Joel Bendera phd hiyo katika tafrija ndogo iliyofanyika viwanja vya ikulu ndogo mjini Morogoro! sambamba na hilo ndugu Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Goodluck Ole Medeiy naye pia alitunukiwa shahada hiyo ya heshima ya uzamivu.
Hongera sana Dakta Joel Bendera
source: Abood Tv

majanga!!!
 
alikuwepo katika mahafali ya sua, nilifikiri SUA ndiyo ilimtunuku! sua noma hata certificate ya heshima hakupewa
 
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na mmoja wa wanasiasa machachari nchini ndugu Joel Bendera, siku ya jana ameweza kutunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu kutoka chuo kikuu cha California State University cha nchini marekani (USA) Makamu mkuu wa chuo hicho alimtunuku ndugu Joel Bendera phd hiyo katika tafrija ndogo iliyofanyika viwanja vya ikulu ndogo mjini Morogoro! sambamba na hilo ndugu Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Goodluck Ole Medeiy naye pia alitunukiwa shahada hiyo ya heshima ya uzamivu.
Hongera sana Dakta Joel Bendera
source: Abood Tv

Duh hizi phd zinztofauti gani na degree za chu.pi? Wanaaibisha sana taaluma hawa! Mbona Nyerere hakutaka ujinga huo!
 
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na mmoja wa wanasiasa machachari nchini ndugu Joel Bendera, siku ya jana ameweza kutunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu kutoka chuo kikuu cha California State University cha nchini marekani (USA) Makamu mkuu wa chuo hicho alimtunuku ndugu Joel Bendera phd hiyo katika tafrija ndogo iliyofanyika viwanja vya ikulu ndogo mjini Morogoro! sambamba na hilo ndugu Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Goodluck Ole Medeiy naye pia alitunukiwa shahada hiyo ya heshima ya uzamivu.
Hongera sana Dakta Joel Bendera
source: Abood Tv

Kwa style hii, na mwendo huu, naona kuna haja ya tume ya ithibati ya vyuo vikuu (TCU) kutoa mwongozo wa namna ya kuwaita watu waliotunukiwa shahada za uzamivu wa heshima (hata kama wengine hawajiheshimu au hawastahili kuheshimiwa) na wale wenye shahada za uzamivu za kusomea. Ni wazo tu!!!
 
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na mmoja wa wanasiasa machachari nchini ndugu Joel Bendera, siku ya jana ameweza kutunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu kutoka chuo kikuu cha California State University cha nchini marekani (USA) Makamu mkuu wa chuo hicho alimtunuku ndugu Joel Bendera phd hiyo katika tafrija ndogo iliyofanyika viwanja vya ikulu ndogo mjini Morogoro! sambamba na hilo ndugu Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Goodluck Ole Medeiy naye pia alitunukiwa shahada hiyo ya heshima ya uzamivu.
Hongera sana Dakta Joel Bendera
source: Abood Tv
Sory, huwa napenda kutazama kipindi cha chanel ten............. Kanjaja time!
 
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na mmoja wa wanasiasa machachari nchini ndugu Joel Bendera, siku ya jana ameweza kutunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu kutoka chuo kikuu cha California State University cha nchini marekani (USA) Makamu mkuu wa chuo hicho alimtunuku ndugu Joel Bendera phd hiyo katika tafrija ndogo iliyofanyika viwanja vya ikulu ndogo mjini Morogoro! sambamba na hilo ndugu Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Goodluck Ole Medeiy naye pia alitunukiwa shahada hiyo ya heshima ya uzamivu.
Hongera sana Dakta Joel Bendera
source: Abood Tv

Hebu tembelea hapa: Is California State Christian University accredited kisha tembelea tovuti yake hapa California State Christian University | Home | Welcome na mwisho linganisha na Honorary Degrees Awarded by Year | CSU mwisho kabisa angalia utamu huu http://tzwanavyuo.blogspot.com/2013/12/mkwamkoamor-joel.html hongera Mh. Dr. J. N. Bendera.
 
Hilo phd za heshima mbona hata kwa dollar 200 unapata? Ukitaka unaweza letewa mpaka sebuleni kwako isipokuwa sebule charge itaongezwa kwenye gharama.
 
Natambua pia kwenye chuo hicho yuko mtanganyika anapiga job hapo. Jamaa ni mzuri kwa kuwajaza wadanganyika na phd fake.
 
Labda tueleweshane kuhusu degree za heshima. Heshima kwa njia mbalimbali zinatolewa kwa watu kutokana na michango yao katika nyanja mbalimbali k.m.f. michezo - Sir Alex Ferguson, huku Afrika kuna Uchifu wa heshima , wengine kupewa ufunguo wa jiji, hata uraia wa heshima unatolewa.
Si vizuri kuchanganya degree za heshima na degree za kusomea na kufanya mitihani. Wengi wanaopewa shahada za heshima hawazihitaji kwa kutafutia kazi . Hata wasomi wanasayansi wenye shahada lukuki wanapewa shahada za heshima katika taaluma kama sheria, tofauti na fani zao.
Kuwapongeza watanzania mwenzetu wanaopewa shahada za heshima na vyuo maarufu nchi za nje au hapa nchini ni jambo la uungwana na mara nyingi ni heshima kwa Tanzania.

Hakuna lolote hapo,heshima ya nin mfano kwahuyo bendera na kila siku mkoa wake una majanga na ameshindwa hata kuyatatua, sasa hiyo heshima itatoka wap heb tuache siasa za kipuuz bana
 
Back
Top Bottom