Joe Biden na Donald Trump, ni nyoka wa aina moja wenye rangi tofauti

Kwanza nianze kwa pongezi safi kabsa kwa mshindi wa 46 wa kiti cha urais wa Marekani Joe Biden wa Democratic party, si jambo la mchezo mchezo kuingia Ikulu kwa nchi yenye nguvu duniani kama Marekani yenye demokrasia kwa 77%.

Wengi wetu hasa waafrika tulitegemea na tulikua tukisubiri mabadiliko ya kiti hicho cha urais kutokana na baadhi ya kauli mbaya na chafu zilizo kuwa zikitolewa na rais alie maliza muda wake Donald Trump. kwa mfano "Africa ni kama tundu la choo" nk.

Kulikua na ubaguzi wa rangi kwa kiasi kikubwa katika nchi ya Marekani kiasi cha waafrika waishio huko 'diaspora' kitoridhishwa na mwenendo wa rais Donald Trump, leo tumepata rais mwingine, at least kuna mabadliko madogo huenda yakajitokeza.

Lakini tutajidanganya mpaka lini, kamwe tusije kutegemea mafanikio ya mwafrika yakaletwa na mzungu, hata siku moja. tutambue tu kua wale wote( Biden na Trump) ni wamarekani weupe ingawa mmoja wao ana makamu mwenye asili ya weusi, ubaguzi utabaki pale pale ita kwa namna tofauti

Wote wale ni nyoka, tena sumu kwa bara la africa, unyonyaji utabaki pale pale, ukandamizaji na ukoloni maomboleo, wote lengo lao ni kuifanya America kua nchi yenye nguvu zaidi ukizingatia ushindani uliopo kati ya Marekani na nchi kama China na Korea.

Huwezi waahidi wamarekani barabara wala umeme, sijui maji , zaidi watataka kua taifa kubwa zaidi, watakuaje taifa kubwa?
kwa kuwatawala Uingereza?!, Urus au Ujeruman?, that is a big NO,
tusitegemee makubwa kutoka kwa Biden Africa

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, kama tulivyowaonya dogo Baraka alivyochukuwa Urais, swala watakuelewa?!
Maana Waafrika tunakatabia ka kushobokea hawa watu bila kujuwa utamaduni wao, haijalishi kama ni weupe, njano, kahawia au weusi, wao ni Umarekani, Marekani na Wamarekani kwanza, wengine tupa kule....
 
Kwanza nianze kwa pongezi safi kabsa kwa mshindi wa 46 wa kiti cha urais wa Marekani Joe Biden wa Democratic party, si jambo la mchezo mchezo kuingia Ikulu kwa nchi yenye nguvu duniani kama Marekani yenye demokrasia kwa 77%.

Wengi wetu hasa waafrika tulitegemea na tulikua tukisubiri mabadiliko ya kiti hicho cha urais kutokana na baadhi ya kauli mbaya na chafu zilizo kuwa zikitolewa na rais alie maliza muda wake Donald Trump. kwa mfano "Africa ni kama tundu la choo" nk.

Kulikua na ubaguzi wa rangi kwa kiasi kikubwa katika nchi ya Marekani kiasi cha waafrika waishio huko 'diaspora' kitoridhishwa na mwenendo wa rais Donald Trump, leo tumepata rais mwingine, at least kuna mabadliko madogo huenda yakajitokeza.

Lakini tutajidanganya mpaka lini, kamwe tusije kutegemea mafanikio ya mwafrika yakaletwa na mzungu, hata siku moja. tutambue tu kua wale wote( Biden na Trump) ni wamarekani weupe ingawa mmoja wao ana makamu mwenye asili ya weusi, ubaguzi utabaki pale pale ita kwa namna tofauti

Wote wale ni nyoka, tena sumu kwa bara la africa, unyonyaji utabaki pale pale, ukandamizaji na ukoloni maomboleo, wote lengo lao ni kuifanya America kua nchi yenye nguvu zaidi ukizingatia ushindani uliopo kati ya Marekani na nchi kama China na Korea.

Huwezi waahidi wamarekani barabara wala umeme, sijui maji , zaidi watataka kua taifa kubwa zaidi, watakuaje taifa kubwa?
kwa kuwatawala Uingereza?!, Urus au Ujeruman?, that is a big NO,
tusitegemee makubwa kutoka kwa Biden Africa

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado Trump ni Raisi wa USA na anaweza kushinda uchaguzi huu, Binadamu yeyote ni mbaguzi kwa asili hivyo anatakiwa afunzwe kuacha ubaguzi, Trump ni bora anasema ukweli na anatekeleza alichosema, Biden amekua kwenye serekali kwa miaka 47 na muda wote huo amekua akiwabagua Waafrica mpaka kutunga sheria na kuwafunga kirahisi na kwa muda mrefu kubwa sheria hii ni kuwa ajili watu weusi tu,Makamu wake amekua na mwenendo huo pia. Biden ikipita Africa itegemee maumuvu makali hasa kiuchumi na Vita sehem mbali mbali za dunia.
 
Wote wale wale tu. Wakoloni mamboleo. Hakuna kitu marekani atafanya kisiwe na maslahi kwake. Rais wetu mpendwa huwa anasema mara kwa mara kuwa hakuna cha bure, vya bure gharama.
 
Bado Trump ni Raisi wa USA na anaweza kushinda uchaguzi huu, Binadamu yeyote ni mbaguzi kwa asili hivyo anatakiwa afunzwe kuacha ubaguzi, Trump ni bora anasema ukweli na anatekeleza alichosema, Biden amekua kwenye serekali kwa miaka 47 na muda wote huo amekua akiwabagua Waafrica mpaka kutunga sheria na kuwafunga kirahisi na kwa muda mrefu kubwa sheria hii ni kuwa ajili watu weusi tu,Makamu wake amekua na mwenendo huo pia. Biden ikipita Africa itegemee maumuvu makali hasa kiuchumi na Vita sehem mbali mbali za dunia.
duh

You have a point. Msisahau Libyaaa
 
kama ungeelewa maana ya "black lives matter" ungejua umuhim wa uchaguz wa Marekani kwa waafrica

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu..ukandamizaji wa haki marekani ni mfumo uliopo miaka zaid ya 500 huko nyuma..alikuwepo obama..wamarekani weusi walizani atabadili mfumo..hola..wale weusi warudi tu kwao nigeria...bagamoyo..lindi..ntwaraa n.k..kule hapawahusu
 
Back
Top Bottom