Joe biden mtihani mpya kwa mzalendo Trump

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,641
Aliyekuwa makamu wa Rais kwenye serkali ya kidemokratik iliyoongozwa na ndugu barack Obama yupo kifua mbele katika kura za maoni zinazopigwa kumshindanisha na Rais aliyeko madarakani bwana D. Trump

Joe biden akikosoa vikali sea za Trump anaonekana kutamba zaidi kama ilivyokowa kwa hilary Clinton

Wachambuzi wanasema wapiga kura wa Trump ni watu bubu watu wanaoweza kudanganya kwenye kura za maoni lakini wakabaki kumpigia kura mtukutu Trump

Joe biden anaungwa mkono zaidi na wahamiamiaji haramu, mashoga, wasafirishaji wa madawa wa kulevya na maskini wasio kuwa na lakushika

Huku trump akipata uungwaji mkono na makundi muhimu amabayo yamekuwa yakiamua uchaguzi wa USA ambao huvuta hisia za watu wengi duniani

Je Obama atafanikiwa kumrudisha rafiki yake white house au ataangukia pua kama alivyomtia gundu rafiki yake hilary

Ila sera za Joe bidden huko mashariki ya kati hasa Iran ni hatari bora za Rais wa sasa zinauvumilivu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom