Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

Nilimsikia yule kamanda mkuu wa NATO akisema Nyuklia woo kani noto bi woni sasa wasiwasi wa nini

Wanampatia Ukraine makombora yenye uwezo wa kupiga Moscow halafu wategemee Putin awe kama akina Tsekedi
 
Marekani mbona na yeye alitumia kule Japan? Vita ilimshinda?
... huwa mnatoaga mifano isiyo na kichwa wala miguu!

Unachotuambia ni kwamba Marekani iliivamia Japan, ikamega ardhi yake, ikaua wajapan, ikaharibu miundombinu ya Japan, Japan ikaomba msaada wa kimataifa, baada ya kupata misaada Japan ikafanikiwa kukomboa ardhi yake iliyoporwa kimabavu na Marekani then Marekani kuona hivyo ikaipiga Japan kwa nyuklia!

Mnapenda sana kufananisha visivyofananishika! Kajisomee ujue case ya Japan ilikuwaje na ni kwanini nyukilia ilitumika.
 
Hizi story za nuke huwa naonaga tu tunaogopeshana!

1. Hivi nuke inapigwa hewan alafu hewa ya sumu inasambaa dunia nzima tunakufa?

2. Kama Nuke ita haribu dunia nzima, je nini role ya Bahari zilizotenganisha mabara vs Plate Tectonics??

3. Je, destruction power ya hizo nuke, umeambiwa zinauwezo wa kuharibu Dunia yote? if that is the case, kwanini wanasema nuke zimeelekezwa sehem/nchii flani kwa sjili ya ku lunch!?

Embu tuelezee kidogo labda wengi wetu hatufahamu!

Consider earth movement through (tectonic plates?
Japo nadharia kama hizi kuaminika ni kazi sana!

Lakini wazo la eti tutakufa dunia nzima ni mfu hakuna UKWELI wowote kwenye hilo Labda madhara ya muda mrefu hata hivyo kuna kizazi Kita evolve ambacho kitashinda madhara hayo na maisha kusonga kama kawa!
 
Hawa watu wanaichukulia hii duna kirahisi sana. Hakuna namna sote tunaweza kupotea, lazima kuna watakao survive!

Distance itasaidia sana kuepeusha madhara kwa baadhi ya maeneo/Nchi
 
Wao wapigane tu watuachilie mbali ss no bongo yetu
IMG-20220928-WA0011.jpg
 
Hawa watu wanaichukulia hii duna kirahisi sana. Hakuna namna sote tunaweza kupotea, lazima kuna watakao survive!

Distance itasaidia sana kuepeusha madhara kwa baadhi ya maeneo/Nchi
Siku hizi mpk Kuna 'tactical nuclear' inaweza kupiga ndani ya radius ya 30km.Mtoto akililia Wembe apewe.
 
Back
Top Bottom