Joe Biden awaambia wajumbe wa UN - General Assembly kuwa, dunia ya wakati ujao si ya viongozi katili wanaokandamiza haki za watu...

Hiko Kitu kinawezekana baada ya watu 70% kuchanjwa Chanjo ya Corona aina ya viongozi wanaotakiwa watapatikana
 
View attachment 1948858
Tafsiri isiyo rasmi;

Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema;

"....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao (wanaowaongoza) kwa mkono wa chuma wa utawala wa kiimla...."

Mwisho wa kunukuu. Hopefully, mrithi wa Mwendazake John P. Magufuli Chief Hangaya atakuwa amesikia na kuelewa vyema..!
Kuua binadam wa mataifa mengine sio uvunjaji wa haki za binadam? Nani muasisi wa vifo vingi duniani? Upumbavu mwingine kuusikia unahitajika moyo wa ziada
 
Yaani kila nikisiliza kwa makini hoja zako, sioni chochote zaidi ya kusukumwa na UDINI... shame on you!!!
Udini? Yani mimi niwe mdini?

Mimi 2025 ntazunguka nchi nzima kumuombea kura Samia.

Sasa hivi eti unamuita Samia kadikteta wakati ulikuwa unajipinda humu kumtetea hata baada ya kupandisha mikodi kwenye mafuta ukawa unasema siyo yeye bali soko la dunia?
 
View attachment 1948858
Tafsiri isiyo rasmi;

Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema;

"....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao (wanaowaongoza) kwa mkono wa chuma wa utawala wa kiimla...."

Mwisho wa kunukuu. Hopefully, mrithi wa Mwendazake John P. Magufuli Chief Hangaya atakuwa amesikia na kuelewa vyema..!
Labda akikuwa ame lala.. Jilo likampita
 
Hangaya atakuwa amejificha kwenye ushungi hasikii sana sana anasema hizo ni bangi za Biden.
 
View attachment 1948858
Tafsiri isiyo rasmi;

Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema;

"....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao (wanaowaongoza) kwa mkono wa chuma wa utawala wa kiimla...."

Mwisho wa kunukuu. Hopefully, mrithi wa Mwendazake John P. Magufuli Chief Hangaya atakuwa amesikia na kuelewa vyema..!

Lilikuwa pigo takatifu la usoni kwa chifu Hangaya na washirika wake
 
Huwo ndio ukweli tawala nyingi za ki imla zitaanguka siku za mbeleni yani uhuru wa watu utakuwa ukipiganiwa kwa vita yani watu watakuwa wabishi kufugwa midomo sasa utauwa wangapi?
Ipo siku tutaanza kudai uhuru kwa Mungu na kumuona ni dikteta.
 
Msiwaamini hata chembe wanachozungumza...

Hizo kauli hazijaanza kuongelewa leo bali enzi na enzi!!

Kwa umri wangu huu, sijawahi kuwasikia wakihamasisha uwepo wa serikali za kikatili na zisizoheshimu utu wa watu lakini, tangu enzi na enzi, wamekuwa wakiwa-support, ama kwa mlango wa nyuma au kwa uwazi viongozi wasioheshimu utu wa watu!!!

Mwanzoni mwa Utawala wake, Iddi Amin alikuwa na "undugu" na Marekani pamoja na Israel hadi pale alipowageuka!!

Tusiende mbali....

Hata katika karne hii ya mahubiri ya Demokrasia, Utawala Bora, Utawala wa Sheria, Haki za Binadamu, and all that, bado tunashuhudia watu kama akina Kagame na Museveni wakiendelea kuwa madarakani huku wakiyatupa yote hayo!!

Najisikia huzuni sana ninapoona watu kama CHADEMA eti bado hadi leo hii wanaamini US wanaweza kufanya chochote kwa Kidikteta Uchwara Samia Hassan Suluhu!! Tunakuwa na hayo matumaini kama tulivyowahi kuona hao US wakifanya chochote dhidi ya nani?!

Ukweli mchungu ni kwamba, Marekani na Wananchi wao watapiga kelele kila kona wakisikia Serikali ya SSH inanyanyasa Mashoga kuliko wakisikia Mbowe amepelekwa mahakamani kwa kesi isiyo na kichwa wala miguu!!

Hivi mna habari kale kamkwara kadogo tu ka Daud Albert Bashite, watumiaji wa fursa walitumia mkwara ule kwenda USA eti "wao kama mashoga hali yao kiusalama ipo mashakani"?! Hili sio la kusikia kwa mtu bali niliona docs 2 kwa macho yangu jamaa wakiomba hifadhi "ya ukimbizi" kwa Trump!!

Je, leo unaweza kuingia US kirahisi kwa kusema Serikali ya SSH inakandamiza haki za kibinadamu mbali na ushoga?
Pole sana ndugu. Ni wazi kwamba umeshakata tamaa. Sijui we dini gani.
Nakushauri jiunge na isiyo na wenye dhambi.
 
View attachment 1948858
Tafsiri isiyo rasmi;

Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema;

"....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao (wanaowaongoza) kwa mkono wa chuma wa utawala wa kiimla...."

Mwisho wa kunukuu. Hopefully, mrithi wa Mwendazake John P. Magufuli Chief Hangaya atakuwa amesikia na kuelewa vyema..!
Kwa wale wanafuatilia movie ya The Heires ambayo wahusika wakuu ni Romina na Kassi kwa upande mmoja na Daniela na Marga kwa upande mwingine wanaweza kuihusisha na kinachoendelea nchini.
Kuna makundi mawili, moja linatetea maslahi na madaraka na lingine linatetea haki na wajibu. Kuna watu katika ccm saa zote wameshika mitutu kuhakikisha kwa hila au nguvu hakuna anayefurukuta. Unaweza kuwahusisha na kina Daniela katika hii muvi.
Pamoja na hayo haki itashinda maana pia ndani ya ccm kuna wasiopenda uovu. Mashrtaka dhidi ya mbowe yangeweza kupuuzwa na kusiwe na hatari yoyote. Badala yake nchi ikabaki na heshima.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Hajaambiwa hapo kwamba "Demokrasia sio Coca Cola"? au tusubiri kwanza hadi zamu yetu itakapowadia kuwapasha hao wanaotumia Coca Cola kwa wingi!

Tega sikio.

Lakini najua hulka zetu sio za kusema mambo kama hayo hadharani kama hapo. Hayo ni ya mvunguni kwetu tu, tunapotaka magaidi watuelewe.
Hizo za Coca cola wanazisemea huku tu ...... wakifika huko wanakuwa wapole utafikir wamemwagiwa maji baridi.
 
Msiwaamini hata chembe wanachozungumza...

Hizo kauli hazijaanza kuongelewa leo bali enzi na enzi!!

Kwa umri wangu huu, sijawahi kuwasikia wakihamasisha uwepo wa serikali za kikatili na zisizoheshimu utu wa watu lakini, tangu enzi na enzi, wamekuwa wakiwa-support, ama kwa mlango wa nyuma au kwa uwazi viongozi wasioheshimu utu wa watu!!!

Mwanzoni mwa Utawala wake, Iddi Amin alikuwa na "undugu" na Marekani pamoja na Israel hadi pale alipowageuka!!

Tusiende mbali....

Hata katika karne hii ya mahubiri ya Demokrasia, Utawala Bora, Utawala wa Sheria, Haki za Binadamu, and all that, bado tunashuhudia watu kama akina Kagame na Museveni wakiendelea kuwa madarakani huku wakiyatupa yote hayo!!

Najisikia huzuni sana ninapoona watu kama CHADEMA eti bado hadi leo hii wanaamini US wanaweza kufanya chochote kwa Kidikteta Uchwara Samia Hassan Suluhu!! Tunakuwa na hayo matumaini kama tulivyowahi kuona hao US wakifanya chochote dhidi ya nani?!

Ukweli mchungu ni kwamba, Marekani na Wananchi wao watapiga kelele kila kona wakisikia Serikali ya SSH inanyanyasa Mashoga kuliko wakisikia Mbowe amepelekwa mahakamani kwa kesi isiyo na kichwa wala miguu!!

Hivi mna habari kale kamkwara kadogo tu ka Daud Albert Bashite, watumiaji wa fursa walitumia mkwara ule kwenda USA eti "wao kama mashoga hali yao kiusalama ipo mashakani"?! Hili sio la kusikia kwa mtu bali niliona docs 2 kwa macho yangu jamaa wakiomba hifadhi "ya ukimbizi" kwa Trump!!

Je, leo unaweza kuingia US kirahisi kwa kusema Serikali ya SSH inakandamiza haki za kibinadamu mbali na ushoga?
Hiyo haina shida maana sisi tuna akili, macho na masikio na kibaya na kizuri kinaeleweka Marekani ndo nini hasa.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Keshasema hakuna nchi yenye"perfect democracy" pamoja na Us. Mlitaka iweje ili mkopi na kupest labda?
 
Mbinyo huu kutoka kwa Jumuiya ya Kimataifa, tayari umeanza kudhoofisha nia ovu za ukatili ziwe kesi za kutunga, PGO n.k zote zimekuwa kaa la moto kwa utawala wa kidhalimu.

The full transcript of Biden's speech is below

Around the world, we're increasingly seeing citizens demonstrate their discontent seeing the wealthy and well-connected grow richer and richer, taking payoffs and bribes, operating above the law while the vast majority of the people struggle to find a job or put food on the table or to get their business off the ground or simply send their children to school.

Authoritarianism — the authoritarianism of the world may seek to proclaim the end of the age of democracy, but they're wrong.

The truth is: The democratic world is everywhere. It lives in the anti-corruption activists, the human rights defenders, the journalists, the peace protestors on the frontlines of this struggle in Belarus, Burma, Syria, Cuba, Venezuela and everywhere in between.

People have taken to the streets in every region to demand that their governments address peoples' basic needs, give everyone a fair shot to succeed, and protect their God-given rights.

And in that chorus of voices across languages and continents, we hear a common cry: a cry for dignity — simple dignity. As leaders, it is our duty to answer that call, not to silence it.

The United States is committed to using our resources and our international platform to support these voices, listen to them, partner with them to find ways to respond that advance human dignity around the world.
READ MORE Source: Full transcript: Biden addresses 76th UN General Assembly
The speech does not concern Tanzania government! We are not part of what the Americans don't like. In fact, we are currently American darlings - which is worry some!
 
View attachment 1948858
Tafsiri isiyo rasmi;

Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema;

"....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao (wanaowaongoza) kwa mkono wa chuma wa utawala wa kiimla...."

Mwisho wa kunukuu. Hopefully, mrithi wa Mwendazake John P. Magufuli Chief Hangaya atakuwa amesikia na kuelewa vyema..!
Viongozi dizaini ya JPm hawafai kwa dunia ya Sasa (mungu amrehemu huko alipo), Nchi au dunia inaitaji viongozi dizaini ya Samia,wenye kuheshimu haki za watu
 
Sijui mama ushungi kama alielewa lugha. akija kusoma humu atashtuka eeeh kumbe Joe alisema haya?
Kwaiyo ushungi wake ndio unakukera!! Ulitaka atembee kichwa wazi huku kaning'iniza Rozali,

Na akimaliza huyo 2030, anakuja January Makamba au Ridhiwani Kikwete
 
Back
Top Bottom