Joe Biden aondoa vikwazo vya Viza ya bahati nasibu kwa Watanzania

Ukimsoma kwa makini aliyeanzisha thread anareflect poor IQ za Watanzania waliowengi.

Imagine taarifa ya ubalozi wa Marekani wametowa taarifa hiyo kwa kiswahili na kingereza na bado jitu bogus hajui kilichoongelewa hapo ni kipi.

Makonda hatakiwi Marekani, na wote walioshiriki kuiba uchaguzi orodha yao ipo kamwe hawatakanyaga Marekani.

Serikali yoyote ya Marekani haicheki na waharibifu wa demokrasia Afrika.
Kuna visa ban mbili tofauti zinawachanganya watu, kuna hii ya awali ambayo ni ya kuhusiana na ugaidi zaidi, ilikataza green card lottery kwa Watanzania na nchi kadhaa za Kiislamu.

Hii ndiyo Biden kaiondoa, imekaa kizushi zushi hivi.

Nyingine ya juzi juzi hapa imewekwa siku za mwisho za utawala wa Trump dhidi ya viongozi wa serikali Tanzania, kuhusiana na uchaguzi, hiyo bado ipo pale pale.
 
Mkuu, kuna tatizo kubwa sana Tz. Yaani watu wameamini kabisa kuwa ndicho kilichotokea
 
Kuna visa ban mbili tofauti zinawachanganya watu, kuna hii ya awali ambayo ni ya kuhusiana na ugaidi zaidi, ilikataza green card lottery kwa Watanzania na nchi kadhaa za Kiislamu.

Hii ndiyo Biden kaiondoa, imekaa kizushi zushi hivi.

Nyingine ya juzi juzi hapa imewekwa siku za mwisho za utawala wa Trump dhidi ya viongozi wa serikali Tanzania, kuhusiana na uchaguzi, hiyo bado ipo pale pale.
Mkuu Ahsante sana, endelea kulisaidia Taifa !!!
 
Yes, hiyo bahati nasibu ya Green Card iliwekwa Kwasababu ya hisia za ugaidi kutokana na watanzania wengi kujiunga kwenye vikundi vya kigaidi.

Haina mahusiano na uchaguzi wala wavunjaji wa haki za binadamu.
Watanzania kujiunga kwenye vikundi vya kigaidi??

Vipi hivyo mkuu??

Mbona unatuchafua watanzania??
 
Siku moja baada ya kuapishwa Joe Biden aondoa Visa Ban iliyowekwa kwa Tanzania.

View attachment 1683401
View attachment 1683412
Uandishi wa kiLumumba. Inakushinda nini kuandika "visa ban ya bahati nasibu'?
Ni wazi kichwa cha bandiko lako kinalenga kupotosha kama siyo kuendesha propaganda.
 
Ukimsoma kwa makini aliyeanzisha thread anareflect poor IQ za Watanzania waliowengi.

Imagine taarifa ya ubalozi wa Marekani wametowa taarifa hiyo kwa kiswahili na kingereza na bado jitu bogus hajui kilichoongelewa hapo ni kipi.

Makonda hatakiwi Marekani, na wote walioshiriki kuiba uchaguzi orodha yao ipo kamwe hawatakanyaga Marekani.

Serikali yoyote ya Marekani haicheki na waharibifu wa demokrasia Afrika.
Matola unaiona Marekani Kama Paradiso! Go east go west Home is the best!!
 
Kuna visa ban mbili tofauti zinawachanganya watu, kuna hii ya awali ambayo ni ya kuhusiana na ugaidi zaidi, ilikataza green card lottery kwa Watanzania na nchi kadhaa za Kiislamu.

Hii ndiyo Biden kaiondoa, imekaa kizushi zushi hivi.

Nyingine ya juzi juzi hapa imewekwa siku za mwisho za utawala wa Trump dhidi ya viongozi wa serikali Tanzania, kuhusiana na uchaguzi, hiyo bado ipo pale pale.
Umenipa mwanga mkuu ,now nmeelewa
 
Ukimsoma kwa makini aliyeanzisha thread anareflect poor IQ za Watanzania waliowengi.

Imagine taarifa ya ubalozi wa Marekani wametowa taarifa hiyo kwa kiswahili na kingereza na bado jitu bogus hajui kilichoongelewa hapo ni kipi.

Makonda hatakiwi Marekani, na wote walioshiriki kuiba uchaguzi orodha yao ipo kamwe hawatakanyaga Marekani.

Serikali yoyote ya Marekani haicheki na waharibifu wa demokrasia Afrika.
Mbona kama umechukia sana kwa hatua hii ya USA?
 
Hili ni jambo jema kwani watanzania wa kawaida hawana sababu ya kuwekewa vizuizi/restrictions zozote.
 
Kuna watanzania wengi wamejiunga na vikundi vya kigaidi kupitia Somalia na Msumbiji.
Sidhani kama hata unaushahidi wa hayo unayozungumza zaidi ya kutegemea media ambazo ziko controlled na hao majamaa.

Kama umeshindwa kufahamu interest za mabeberu mpaka sasa,

Unasafari ndefu Sana kutoka kwenye utumwa wa kifikra ndugu yangu.
 
Mbona kuna watanzania wanekanatwa hapo Kenya kwa kushiriki Ugaidi au hujaisikia serikali ya Msumbiji kuwa baadhi ya magaidi wanatokea Tanzania ??

Anyway Tanzania siku zote ni perfect haina tatizo.

Hongera wewe mwenye fikra huru za kuabudu kila anachosema Magu.
 
Hapo umemtaja mtu mmoja tu ambaye hata ushiriki wake nao ni wa utata halafu unakuja na statement inayosema watanzania wengi.,

Huoni kuwa umedanganya hapo.

Serikali ya Msumbiji imesema magaidi waliopo Huko wanatokea Tanzania ? Lini hiyo wamesema hivyo?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom