Joe Biden aondoa vikwazo vya Viza ya bahati nasibu kwa Watanzania

Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
3,493
2,000
Trump na Pompeii ndio w alisababisha tuone marekani mabeberu

Ubeberu ni maneno na maeneo

Msimamo Wangu uko pale pale Trump na Pompeo ni mabeberu kwa maneno yao na vitendo bhai vya serikali yao na mabalozi wao lakini Biden na serikal yao mpya sio mabeberu

Narudia Trump na Pompeo na serikali yao walikuwa mabeberu

Bhasi itakuwa mwalimu wangu wa Historia alinidanganya

Mimi nilikuwa najua beberu = Imperialist = Imperialism... Ambao ni mfumo tu wa kijamii, Kisiasa na kiuchumi kama vile tunavyouona ujamaa

yaani kumuita mmarekani Beberu (Imperialist) haina tofauti na Ukiamua kumuita mchina mjamaa (Communist)
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
30,390
2,000
Biden alikuwa makamu wa Raisi wa Obama anaelewa Africa na Tanzania kuliko Trump mzungu na makamu wake mzungu na secretary of State mzungu mwenzie Pompeo!!!
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
30,390
2,000
Bhasi itakuwa mwalimu wangu wa Historia alinidanganya

Mimi nilikuwa najua beberu = Imperialist = Imperialism... Ambao ni mfumo tu wa kijamii, Kisiasa na kiuchumi kama vile tunavyouona ujamaa

yaani kumuita mmarekani Beberu (Imperialist) haina tofauti na Ukiamua kumuita mchina mjamaa (Communist)
Vitabu vyote huwa na new editions naona wewe bado kwenye shelf na vitabu old editions China sio communist tena!!!! Revise your notes .Mwalimu wako wakati ule alikuwa right sasa hivi unatakiwa kujiongeza kusoma new edition of books vinginevyo elimu yako itakuwa outdated na wewe outdated

Elimu kuwa outdated sio kesi lakini mtu kuwa outdated ni case sababu new editions of books are available read them!!!!
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,980
2,000
Nakumbuka misukule ya lumumba ilisema hio visa haina issue, sasa ngoja ujionee watakavyokuja hapa wakikata viuno baada ya kufunguliwa.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,550
2,000
Trump na Pompeii ndio walisababisha tuone marekani mabeberu

Ubeberu ni maneno na maeneo

Msimamo Wangu uko pale pale Trump na Pompeo ni mabeberu kwa maneno yao na vitendo bhai vya serikali yao na mabalozi wao lakini Biden na serikal yao mpya sio mabeberu

Narudia Trump na Pompeo na serikali yao walikuwa mabeberu
Unaelewa kwamba serikali ya Marekani haijabadilika, umebadilika uongozi tu?

Unaelewa kwamba sera za msingi za Marekani hazijabadilika?
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,550
2,000
Bhasi itakuwa mwalimu wangu wa Historia alinidanganya

Mimi nilikuwa najua beberu = Imperialist = Imperialism... Ambao ni mfumo tu wa kijamii, Kisiasa na kiuchumi kama vile tunavyouona ujamaa

yaani kumuita mmarekani Beberu (Imperialist) haina tofauti na Ukiamua kumuita mchina mjamaa (Communist)
Huyo jamaa kaleta argument superficial sana.

Kama vile kasema ubeberu wa Marekani umeisha baada ya Trump na Pompeo kuondoka madarakani!
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
3,493
2,000
Huyo jamaa kaleta argument superficial sana.

Kama vile kasema ubeberu wa Marekani umeisha baada ya Trump na Pompeo kuondoka madarakani!

Kitu ambacho si kweli maana Ubeberu wa marekani sio kitu cha trump bali ni mfumo wa kitaifa
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
3,493
2,000
Vitabu vyote huwa na new editions naona wewe bado kwenye shelf na vitabu old editions China sio communist tena!!!! Revise your notes .Mwalimu wako wakati ule alikuwa right sasa hivi unatakiwa kujiongeza kusoma new edition of books vinginevyo elimu yako itakuwa outdated na wewe outdated

Elimu kuwa outdated sio kesi lakini mtu kuwa outdated ni case sababu new editions of books are available read them!!!!

Nashukuru brother na nimeupokea Ushauri wako vizuri tu ila usisahau kuutumia pia. Ila Jaribu kutafuta mchambuzi wa kukusaidia at least uweze kuelewa na kutumia hizo concept unazozisoma katika hiyo "updated education"

REFER "Ubeberu ama imperialism kuwa mfumo wa Rais Trump na utabadilika chini ya Rais Biden".
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,481
2,000
Kwa hiyo kumbe kuna Mazingira inaruhsiwa kuipiga Ngwala demokrasia? Ikiwa kwetu Afrika wanasema nenda Mahakamani ila kwao wamemfungia kienyeji
Trump alikuwa analeta mtafaruku na tweets zake sasa wamuache tu alete vurugu nchini?
 
sawima

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
4,960
2,000
Kwa hiyo kumbe kuna Mazingira inaruhsiwa kuipiga Ngwala demokrasia? Ikiwa kwetu Afrika wanasema nenda Mahakamani ila kwao wamemfungia kienyeji
Kwahiyo tweeter ndio mahakamani?

Wewe hukusikia Trump alipeleka madai yake mahakamani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom