Joe Biden aondoa vikwazo vya Viza ya bahati nasibu kwa Watanzania

Vikwazo viko palepale, tatizo uelewa wako upo kiCCM zaidi.Ubongo wako umeitunza ndani ya matumbo ya akina Polepole.
Vikwazo visivyokua na maana havina impact kwa taifa.
Kama wanataka waweke vikwazo vya misaada na mikopo,

Ni sawa na mtu akuzuie kwenda baani kunywa bia wakati anakusaidia kutunza pesa yako ufanyie mambo mengine kisha ajione amekukomesha.
Huko ni sehemu ya starehe tu hakuna umuhimu wa kwenda kama ni biashara watu wanafanya kwa mtandao.
 
Kwani hata wao alikudanganya nani kuwa nao haukuwa na shida? Tena kama kuna mwaka ambao Uchaguzi wa US umewaaibisha hasa ni wa 2020.
Si kweli, Uchaguzi wa U.S 2020 ndio umethibitisha kwamba Demokrasia inaheshimiwa Marekani, na kwamba ni muhimu kujenga na taasisi imara na kuzisimamia, na kwamba mamlaka ya nchi ni ya wananchi. Ni tofauti na kufuata mihemko ya mtu mmoja au ya kikundi fulani kwa maslahi yao binafsi badala ya maslahi ya nchi kwa ujumla.
 
Ukimsoma kwa makini aliyeanzisha thread anareflect poor IQ za Watanzania waliowengi.

Imagine taarifa ya ubalozi wa Marekani wametowa taarifa hiyo kwa kiswahili na kingereza na bado jitu bogus hajui kilichoongelewa hapo ni kipi.

Makonda hatakiwi Marekani, na wote walioshiriki kuiba uchaguzi orodha yao ipo kamwe hawatakanyaga Marekani.

Serikali yoyote ya Marekani haicheki na waharibifu wa demokrasia Afrika.
Wewe utakanyaga Marekani lini?
 
Januari 30, 2020 serikali ya Donald Trump ilitangaza kuwawekea Watanzania vikwazo vya kushiriki bahati nasibu hiyo pamoja na raia wa nchi nyingine kadhaa.

Kwa mujibu wa afisa mmoja mwandamizi wa utawala uliopita wa Trump, nchi hizo ziliwekewa marufuku hiyo kwa kushindwa kufikia "kiwango stahiki cha ulinzi na kupashana taarifa".
2672892_1611322158374.jpg

"Nchi hizi, kwa sehemu kubwa, zinataka kutoa msaada lakini kwa sababu mbali mbali zimefeli kufikia viwango vya chini tulivyoviweka," aliyekuwa Naibu Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani Chad Wolf aliwaambia wanahabari baada ya kutangazwa kwa vikwazo.

Hii leo, Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetangaza kuwa marufuku hiyo imefutwa rasmi na rais mpya wa nchi hiyo Joe Biden aliyeingia madarakani juzi Jumatano.

"Mojawapo kati ya hatua zake za mwanzo kabisa akiwa Rais, Rais Biden ameondoa kikwazo kilichowekwa kwa Watanzania kuomba Viza ya Bahati Nasibu (Diversity VISA - DV)," ubalozi huo umeandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Bahati nasibu hiyo ilipitishwa kisheria nchini Marekani mwaka 1990 na bahati nasibu ya kwanza ikafanyika mwaka 1995. Toka wakati huo, takribani watu 50,000 kila mwaka kutoka nchi mbalimbali duniani hushinda bahati nasibu hiyo na kupata viza ya kuingia Marekani na kufanya kazi kama wakazi wa kudumu.

Washindi wa viza hiyo pia huweza kuhamia nchini humo na wenza wao pamoja na watoto walio chini ya umri wa miaka 21.

Mujibu wa taarifa za Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, katika kipindi cha miaka 10 kutoka 2008 mpaka 2018, jumla ya Watanzania 643 walishinda bahati nasibu hiyo.

Katika kipindi hicho, mwaka ambao Watanzania walishinda wengi zaidi ilikuwa 2009 watu 137 na mwaka ambao walishinda wachache ilikuwa mwaka 2014 watu 28. Zaidi ya Watanzania 10,000 hutuma maombi ya kushiriki bahati nasibu hiyo.

Kwa mwaka 2017 pekee, Watanzania 13,733 walituma maombi, kati yao 6,919 waliingia kwenye kinyang'anyiro na mwishowe walioshinda bahati nasibu walikuwa 46.
 
Kenge zimechukia green card kurudi
maCCM hamatafanikiwa kwenye bahati majibu hiyo. 1. Mahera na Kaijage hawapo.
2. Orodha yenu yote ipo ikulu ya Marekani.
3. COVID ipo kazini kuwaondoa.
4. Mnakulana wenyewe hakuna kati yenu atakayepona
 
..sasa alikuwa amefuata nini Kenya, na zaidi chuoni kulipotokea ugaidi?

..au alikuwa amekwenda kungonoka na mademu wa chuo?

..inawezekana kilichomfanya awekwe kundi moja na magaidi ni zaidi ya kukutwa juu ya dari.

..pia kama sijakosea siyo wote walioshtakiwa walipatikana na hatia.

..ngoja nimuulize jamaa yangu MK254 anaweza kuwa amefuatilia vizuri suala la Rashidi Mberesero.

Tatizo watu wengi hufuatilia kesi ya huyu dogo kwa mitazamo ya kidini na kuwa na kauli nyepesi kama hiyo ya eti alihukumiwa kunyongwa kisa kakutwa kwenye dari.
Uchunguzi ulifanywa kuanzia kwao Tanzania, maisha yake shuleni na mpaka alipokwenda Somalia na kujiunga kwenye ushababi. Ushahidi ulikua unatolewa kila siku ya kesi, ikiwemo alivyoishi kwenye msikiti wa hapo karibu siku tatu kabla ya tukio, ambapo alikua akiongoza adhana huku amevalia kanzu, ila siku ya tukio kaja amevaa kivita na kumuaga imamu.
Mengi yalisemwa na kuthibitishwa, hukumu ya kunyongwa huwa haitolewi kizembe.
 
Jiandaeni kuwa disappointed kwa mambo mengi tu kuhusu huu utawala wa Biden wale mnaotegemea muendelezo wa ule uhayawani wa akina Pompeo.

Pamoja na Anthony Blinken kusisitiza ubalozi wa Marekani kusalia Jerusalem ila kuna uwezekano mkubwa ukarudi Tel aviv!

Naona mnapanua magoli,hamleti tena hoja ya kwamba "yote aliyoyafanya Trump ni sera ya Marekani kuhusu Africa kwamba hata Rais ajaye ataendelea nayo."
 
Watanzania kujiunga kwenye vikundi vya kigaidi??

Vipi hivyo mkuu??

Mbona unatuchafua watanzania??
Tunachafuliwa vip wale waliokua kibiti ni wa Nchi gani baadae wakakimbilia msumbiji na wamepata sapoti huko wanaua watu hovyo kwani Watanzania ni malaika?
 
[/QUOTE]
Tunachafuliwa vip wale waliokua kibiti ni wa Nchi gani baadae wakakimbilia msumbiji na wamepata sapoti huko wanaua watu hovyo kwani Watanzania ni malaika?
Sijaona official statement toka serikali ya Msumbuji inayosema kuwa hao magaidi waliopo huko msumbiji wametokea Tanzania kibiti, hii wewe umeitoa wapi??
 
Sijaona official statement toka serikali ya Msumbuji inayosema kuwa hao magaidi waliopo huko msumbiji wametokea Tanzania kibiti, hii wewe umeitoa wapi??
[/QUOTE]
Na yule aliekamatwa Cape town wakampeleka USA au huyu dogo aliekamatwa kwenye hostel za wanafunzi wa kike Uganda na ameshafariki sio Mtanzania? Kwani ukiwa Mtanzania inakufanya usifanye mambo yasiopendeza jamii?
 
Umetoka msumbiji naona umekimbilia kutaja mtu mmoja cape town na mwingine kenya.

Sijaona mahali hao watanzania wengi walipotajwa kujinga na vikundi vya ugaidi.

Wakati mwingine mjifunze kuchuja taarifa zinazotolewa na nchi hasimu kuharibu image ya nchi yetu.

Vijana mnakosa uzalendo kabisa na Taifa lenu, mnashindwa kujua hapa ndio nyumbani Mungu alipotupa na hakuna Tanzania nyingine zaidi ya hii hivyo tunapaswa kuithamini na kuilinda.
 
Kuna visa ban mbili tofauti zinawachanganya watu, kuna hii ya awali ambayo ni ya kuhusiana na ugaidi zaidi, ilikataza green card lottery kwa Watanzania na nchi kadhaa za Kiislamu.

Hii ndiyo Biden kaiondoa, imekaa kizushi zushi hivi.

Nyingine ya juzi juzi hapa imewekwa siku za mwisho za utawala wa Trump dhidi ya viongozi wa serikali Tanzania, kuhusiana na uchaguzi, hiyo bado ipo pale pale.
Wakudadavuwa msome Matola kwa utulivu utaelewa. Hiyo aya ya mwisho inaeleza kila kitu.

Hivi unajua ni kwanini Pompeo alipiga pini masaa machache kabla ya Biden kuingia?
Kuiondoa Ban kunahitaji review mpya!

Hii mbinu ya kutumia udhaifu wa uelewa wa Watz tunaijua!
Kuna bandiko umeongelea ICC ili kukwepa mada, naona somo limeeleweka na huondoi watu kwenye hoja.
 
Na yule aliekamatwa Cape town wakampeleka USA au huyu dogo aliekamatwa kwenye hostel za wanafunzi wa kike Uganda na ameshafariki sio Mtanzania? Kwani ukiwa Mtanzania inakufanya usifanye mambo yasiopendeza jamii?
Umetoka msumbiji naona umekimbilia kutaja mtu mmoja cape town na mwingine kenya.

Sijaona mahali hao watanzania wengi walipotajwa kujinga na vikundi vya ugaidi.

Wakati mwingine mjifunze kuchuja taarifa zinazotolewa na nchi hasimu kuharibu image ya nchi yetu.

Vijana mnakosa uzalendo kabisa na Taifa lenu, mnashindwa kujua hapa ndio nyumbani Mungu alipotupa na hakuna Tanzania nyingine zaidi ya hii hivyo tunapaswa kuithamini na kuilinda.
[/QUOTE]
Uzalendo sio kufuga magonjwa umejifungia bongo hakuna unachojua hiyo ya Cape Town ilikua mwaka gani kama sio zaidi ya miaka 18 iliyopita kutetea maovu aikufanyi wewe eti ni mzalendo ni kujidanganya huko nasema tena baadhi ya Watanzania wapo hapo cabregado msumbiji endelea kusubiri tamko la serikali ya msumbiji...
 
Back
Top Bottom