James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Tofauti na Donald Trump Joe Biden anaamini kuwa Marekani inatakiwa kuhamasisha dunia kwenye mambo mbalimbali ikiwepo mambo ya mazingira na demokrasia.
Baada ya huu "uchaguzi" nategemea "rais" atajaribu kuwarubuni wapinzani kwa kuwapa ajira ili wahamie CCM. Hiyo itakuwa ni propaganda kuwa yeye na chama chake wanapendwa na Watanzania. Kuna uwezekano akapata watu wa kuwarubuni lakini mtu mmoja ambaye nina uhakika hatokubali ni Tundu Lissu.
Nategemea Tundu Lissu atatoa mchango mkubwa kuzishawishi nchi za Ulaya na Marekani kutuwekea vikwazo.