Jobu Ndugai ni mbunge wa jimbo lenye idadi kuwa ya nyumba za tembe

KASENYENDA JR

Member
May 5, 2013
89
14
Pomja na kujisifu kuwa yeye ni mwanasiasa mkongwe huyu naibu spika wa bunge,lakini inasikitisha kuwa jimbo lake ni miongoni mwa majimbo ambayo wananchi wanaishi kwenye makazi duni huku yeye akiwa anapata raha kwenye nyumba za kifahari alizo zipata kwa jasho la pesa za walipa kodi.

Hii ni dharau sana kwa wapiga kura wake na kwa kuwa wanampenda bila shaka watamchagua tena kuwaongoza​
 
Ukisha ona sehemu ina Mbunge toka Magamba halafu uwezo wake ni type ya huyu naibu spika, ujue eneo hilo lina umasikini na ujinga wa kutisha, of course umasikini na ujinga pia ni mtaji mkubwa sana wa kura za ccm!
 
Pomja na kujisifu kuwa yeye ni mwanasiasa mkongwe huyu naibu spika wa bunge,lakini inasikitisha kuwa jimbo lake ni miongoni mwa majimbo ambayo wananchi wanaishi kwenye makazi duni huku yeye akiwa anapata raha kwenye nyumba za kifahari alizo zipata kwa jasho la pesa za walipa kodi.

Hii ni dharau sana kwa wapiga kura wake na kwa kuwa wanampenda bila shaka watamchagua tena kuwaongoza​

kapicha kamoja
 
Wapiga kura wake wapuuzi as well huwezi kumchagua ndugai akawa mbunge...ndugai anaogopwa jimboni kwao kwa kuwa ana ndumba hatariiii
 
jamani kuwa na nyumba za tembe ni kudumisha mila na utamaduni. Kwa hiyo napendekeza jimbo la Ndugai liwe mojawapo ya World heritage sites kwa kudumisha utamaduni kwa nyumba za tembe.
 
Back
Top Bottom