Jobs Opportunities at Dar es salaam City Council (Madereva 7), Deadline 28 February 2020

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,427
1,385
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA UDEREVA NAFASI 7

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wakazi wa jiji la Dar es Salaam wale wenye sifa za udereva nafasi 7. kazi hii itakuwa ni ya mkataba wa miezi mitatu na msahara utalipwa kwa mujibu wa kisahihisho C NYONGEZA vi

sifa za muombaji
Dreva Daraja la II NAFASI 7
Ngazi ya Mshara ni TGSB B 390,000

  • mwobaji awe na elimu ya kidato cha nne
  • mwaombaji awe na leseni ya Daraja E/C1 ya uendeshaji wa magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali
  • mwoombaji awe amehudhuria mafunzo ya misingi ya uendeshaji wa magari (basic Driving course) VETA au chuo kinachotambuliwa na serikali
  • mwombaji mwenye cheti cha majaribio ya ufudni daraja la II atafikiriwa kwanza
KAZI ZA KUFANYA

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari kubaini hali ya usalama wa gari
  • kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazikufanya matengenezo mdogo madogo ya gri
  • kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
  • kujaza na kutunza safari zote katika adaftari la safari(safari logbook)
  • kufanya usafi wa gari na
  • kufanya kazi nyingine kadiri atakavyoelekezwa na msimamizi wake
MASHARTI YA JUMLA

  • Waombaji wawe raia wa Tanzania na wenye umri wa kuanzia miaka 18 na usizidi miaka 45
  • waombaji waambtanshe nakala za vyeti kidato cha nne cheti cha kuzaliwa na picha mbiliza passportsize za hivi karibuni na iandikwe majina yote ya mwombaji kwa nyuma
  • mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28 Februari 2020
MAOMBI YATUMWE KWA
Mkurugenzi wa jiji,
Halmashauri ya Jiji,
Ukumbi wa Jiji,
S.L.P 9084,
1 – Barabara ya Morogoro,
11882 – Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom