ThinkPad
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,844
- 233
Wana JF naomba kama kuna mtu atakaye weza kunisaidia kuinua Uchumi (Kipato) anisaidie.Kama zitatokea nafasi za kazi kwa upande wa IT, nawaomba mnifahamishe yaani nimekaa na uwezo wa kazi ninao, So wakubwa naomba msaada wenu.
Ninauzoefu na elimu katika : Electronics Repair,
Web design kwa HTML ,web kwa joomla naiweza vizuri sana.
PC na Laptop hardware problem naweza pia kutengeneza,Lan na Wlan.
Software Repair naiweza pia na PC protection, PC and Data Rescue
Graphic kwa Adobe Photoshop naiweza kwa kiwango kizuri pia.
wakubwa naomba mnisaidie kama mtapata chance hizo mnistue.
mkipata namna yakunisaidia ni PM.