Job vacancy announcement, Eden Valley schools

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Job vacancy announcement, eden valley schools announcing for the follpwing posts secondary teachers physics/mathematics, chemistry/biolpgy,book-keeping/commerce, one teacher in each department, also two accountants &two secretaries, one nusury head teacher/mistress, qualifications: Professionals on your carrier, be an active sda member, send your applocation to the manager, eden valley schools p.o.b.ox 3052 mwanza tanzania,or contact no 0755411730,0786411730,0715411730 before 17.12.2014
 
Ungeandika kwa lugha unayoiweza, pengine ungesitiri udhaifu wako na wa aliyekuajiri
 
wewe ni mlinzi wamekupa uwatangazie ama nini!!!! daah pole yao na yako though.... :sad:
 
Jaman takehome msg ni tangazo lá Ajira suala lá kuchapia halituhusu kikubwa umeelewa msg ? suala lá kiimani hatao shule za dini zingine zinatangaza kuwa wa imani yao ni added advantage, Mimi nitaenda kuwasaka tuchangamkie fursa waelewa
 
Jaman takehome msg ni tangazo lá Ajira suala lá kuchapia halituhusu kikubwa umeelewa msg ? suala lá kiimani hatao shule za dini zingine zinatangaza kuwa wa imani yao ni added advantage, Mimi nitaenda kuwasaka tuchangamkie fursa waelewa

pasi na shaka kamata fursa mkuu.
 
kama kila taasisi ikiendeshwa kidini tena kwa kujitangaza huku unawaumini wako kanisani ni bora kuwatangazia ili wachukue fursa. na kwa msingi huo msiwe watu wakulaumu mkiona taasisi nyingne zinaajiri kidini na hata kabila. mwenye kuelewa na aelewe.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom