Dee1044
New Member
- Jul 3, 2019
- 2
- 1
Jina langu ni Emmanuel Elisha,highschool graduate nchini Kenya,nina miaka 24.Ninatafuta kazi ya ualimu au private tuition kwa wanafunzi wa sekondari hasa katika somo la kiingereza.Nina uzoefu wa kufundisha tuition.Vile vile,ninavyo vyeti vya Kenya vya kuhakiki taarifa zangu na kuonyesha ufaulu katika somo la Kiingereza.If interested leave your email address and I'll check you up.PS.Serious People Only!!Thanks.