Job Opportunity at British High Commission, Application Deadline 03-11-2016

Hapo watu sababu wanazozijua wao huwa wanatangaza ajira lakini wanapenda kumpa MTU ambaye ni RAIA Wa nchi yao ambaye yuko hapa au wanakuwaga na intern ambao wengi wanakuwa wamesoma uk hapo hapo BHC.

So kama ni mbongo ngumu sana kupata
 
wakupe kwa elimu ipi? ya ndalichako au vyuo uchwara? hata ningekuwa mimi siwezi
 
Back
Top Bottom