Job Ndungai ni spika wa aina gani huyu?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Kwakweli hata kama alibebwa na kura za wingi wa CCM lakini kusema ukweli hii kazi haiwezi kabisa, kiti kimemshinda yaani shida tupu. Huwezi kupewa nafasi yenye kuongoza watu wenye itikadi mbalimbali lakini wewe ukashindwa kutawala emotions zako. Mambo ya ajabu kabisa, CCM mlipotea njia sana mngechagua mtu mzuri angewasaidia hata ninyi pia.

Hii nafasi ilimfaa sana Mzee Zungu lakini ndio hivyo, huyu mzee anajiamini,ana confidence, hana mihemko na pia umri wake unaenda sambamba busara na hekima zake. Pia ni mtu anayeifahamu siasa vizuri na anazimudu vyema kazi za bunge.

Yaani sasahivi ni "KUPATWA KWA KITI CHA SPIKA". Ndungai anashindwa kabisa kuelewa kua yeye ni kiongozi anayepaswa kusimama katikati ya makundi yote, yaani yeye ni ilimradi liende tuu.

Bora mama Makinda yalipomshinda alitambua umuhimu wa mijadala alikua akiahirisha shughuli za bunge ili kupata muda wa kujadili mambo yaliyotokea na kuyaweka sawa, lakini huyu jamaa yeye anakwenda tuu,huuh! jazba as if hajavaa joho lenye hadhi kubwa kabisa nchini.

Spika huwezi kusimama mbele ya bunge unawaelekeza ama kuwashari mawaziri wasipeleke maendeleo kwa wapinzani ambao hawajaunga mkono hoja kuhusu bajeti. Hiki ni kituko kikubwa kabisa, kwani Pesa za bajeti si kodi ya wananchi wote? Hili limevunja rekodi ya miaka yote ya vikao vya bunge tangu lianzishwe.Spika gani unataka kila kitu kiungwe mkono kama unavyotaka wewe? Hivi huelewi kua bungeni kuna wapinzani au unafikiri ni kama bunge la wawakilishi kule Z'bar?

Hakyanani siwezi kujifunza na sijawahi kujifunza lolote kutoka kwa huyu jamaa.
 
Sasa hivi Bunge la Tanzania "limepatwa " na Spika.
He is the worst ever..!!
Hakupaswa kuwa hata Mbunge huyu..
Anaendesha bunge kwa maelekezo ya Ikulu..
Poor and Hopeless Ndugai.
 
Kwakweli hata kama alibebwa na kura za wingi wa CCM lakini kusema ukweli hii kazi haiwezi kabisa, kiti kimemshinda yaani shida tupu. Huwezi kupewa nafasi yenye kuongoza watu wenye itikadi mbalimbali lakini wewe ukashindwa kutawala emotions zako. Mambo ya ajabu kabisa, CCM mlipotea njia sana mngechagua mtu mzuri angewasaidia hata ninyi pia.

Hii nafasi ilimfaa sana Mzee Zungu lakini ndio hivyo, huyu mzee anajiamini,ana confidence, hana mihemko na pia umri wake unaenda sambamba busara na hekima zake. Pia ni mtu anayeifahamu siasa vizuri na anazimudu vyema kazi za bunge.

Yaani sasahivi ni "KUPATWA KWA KITI CHA SPIKA". Ndungai anashindwa kabisa kuelewa kua yeye ni kiongozi anayepaswa kusimama katikati ya makundi yote, yaani yeye ni ilimradi liende tuu.

Bora mama Makinda yalipomshinda alitambua umuhimu wa mijadala alikua akiahirisha shughuli za bunge ili kupata muda wa kujadili mambo yaliyotokea na kuyaweka sawa, lakini huyu jamaa yeye anakwenda tuu,huuh! jazba as if hajavaa joho lenye hadhi kubwa kabisa nchini.

Spika huwezi kusimama mbele ya bunge unawaelekeza ama kuwashari mawaziri wasipeleke maendeleo kwa wapinzani ambao hawajaunga mkono hoja kuhusu bajeti. Hiki ni kituko kikubwa kabisa, kwani Pesa za bajeti si kodi ya wananchi wote? Hili limevunja rekodi ya miaka yote ya vikao vya bunge tangu lianzishwe.Spika gani unataka kila kitu kiungwe mkono kama unavyotaka wewe? Hivi huelewi kua bungeni kuna wapinzani au unafikiri ni kama bunge la wawakilishi kule Z'bar?

Hakyanani siwezi kujifunza na sijawahi kujifunza lolote kutoka kwa huyu jamaa.

Vipi Ndugai vs Mama Tulia?
 
c mlikuw mnasema bora yey nyie? mbn hamuelwekiiii
 
Matatizo ya mtu mshamba ambaye hana elimu kupata cheo bila kutegemea wala maandalizi.
 
Sasa hivi huwezi kumtofautisha ****** na Lusinde, Msukuma au Millinga. Lugha yao ni moja.
Sijui kama alielewa Mbatia alipomwambia Bunge lifanye mabadiliko ya katiba turudi kwenye mfumo wa chama kimoja!!
 
yani leo nimecheka,eti kwa vile budget ni shirikishi kutoka ngazi ya chini basi ingetakiwa kwenye kupiga kura hao wabunge wa upinzani waseme NDIO,alafu yule waziri simbachawene nae anatetea kwa kuweka mfano wa bunge la India ambapo wanapiga kura za aina 2 tu za kukubali na ku abstain.
yani simbachawene na Janister Mhagama ndio wameniacha hoi leo
 
hivi mtu kama 60% ya mambo yaliyomo ktk budget hayakupendezi na bado katika michango Waliombaa wayafanyie marekebisho lakini hayakufanyiwa alafu bado upige kura ya NDIO utakuwa na Akili kweli?
 
Back
Top Bottom