Job Ndugai huyu hapa, yuko bize jimboni kusaidia wapiga kura

Hawa wajinga wanadhani Lisu ni issue tena! Lisu anamatatizo ya afya ya akli kila siku kuropoka!
Utapiamlo wa akili ndio unakufanya utapike haya, ungekuwa na akili usingetapika haya mataputapu!
W aliosababisha huu ukilema wake si ndio nyie ?
Nakushauri tumia muda wako mwingi kuomba hekima na busara toka kwa Muumba.
 
Mbona uso unaonesha bado Yuko chini ya ulinzi? Chama Dola mnajua kucheza movie🤣
 
Bado hujaridhika tu? Watanzania Chuki za kijinga zinagandisha akili zenu ndo maana hatusogei Taifa lina vijana wa hovyo kama wewe.
Lazima Ndugai kasoma post za wadau.
Kikombe kile kile alichowanywesha wengine kilikuwa kinamsubiri akinywe , asingeonekana bungeni.
Kashtuka!
Sasa backbencher.
 
-Speaker Aliyejiuzuru,alitumia maneno ya uchochezi na kuudhi tena hadharani, kukosoa Serikali inayoongozwa na Chama chake cha Mapinduzi.
-Maneno yenye kutaka kuleta taharuki kwa wananchi.
-Chama chake kilipaswa kunchukulia hatua za kinidhamu au kumpa karipio,iwe fundisho kwa viongozi wengine.
Alitumia lugha isiyo ya kibunge
 
Hali ilivyo Sasa jimboni kwa Ndugai

View attachment 2184901

Huduma hafifu ya upatikanaji wa maji safi na salama umekuwa changamoto kwa Wananchi wa kitongoji cha Mpakani Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa hali inayosababisha migogoro ya ndoa Na Victor Chigwada.


1649852204863.png
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom