Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Baada ya hotuba ya Mh.Rais ya kuhitimisha upokeaji wa Taarifa ya Uchunguzi, baadhi ya viongozi walihojiwa akiwemo Mh.Spika Bw.Ndugai.Nimeshtushwa Na kauli ya Mh.Huyo kuwa anasikitika sana Na kuiita Mikataba ya Hovyo.Nimekuwa najiuliza Wabunge wa Upinzani wamekuwa wakilitaka Binge liibane Serikali ilete Mikataba ipitie Na Wabunge lakini Spika huyu huyu anakataa Leo anadai Eti mikataba ya Hivyo.Watanzani tuache unafiki wabunge wa CCM walikuwa wanaipongeza Kwa nguvu mikataba hiyo Na kuna kipindi CCM kupitia Halmashauri Kuu iliupongeza sana uwekezaji uliofanywa Na Rais wa awamu ya 3.