hata mi nilitaka kusema hivo, dah! asee mama ni mrembo, vijana ka sisi usipo muangalia kwa makini ujue ni mzee, unaweza pita naye.

Jakaya ataweza kumvumilia kweli huyu mrembo.
Niliwahi Kukutana na Huyu Mama miaka ya 2000+ wakati Huo tumeenda Zanzibar Kupeleka Mahari ambapo Kakayangu(Kwa Sasa Kaka Yangu ni Dc Wilaya Fulani ya Pembezoni mwa nchi) alikuwa anamuoa Mdg wake na chief Hangaya.
.
Kimsingi huyo Mama ni mrembo na ana jicho zuri Mnoo na hata ni shemeji yangu ambae ni Mdg wake Wa Kuzaliwa na Chief Hangaya Nae ana jicho mno shida Yao ni Kuwa na Matiti Makubwa na Hawana maumbo #8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijamtamani nimemsifia tu alivyo mzuri, hata hivyo ni rika langu hivyo hakuna jipya hapo Tang’ana mora wa weito.
Kila mmoja hapa jukwaani akiamua kuandika lugha ya kabila lake (kilugha/kikabila), hivi tutakuwa salama kweli!??
 
Niliwahi Kukutana na Huyu Mama miaka ya 2000+ wakati Huo tumeenda Zanzibar Kupeleka Mahari ambapo Kakayangu(Kwa Sasa Kaka Yangu ni Dc Wilaya Fulani ya Pembezoni mwa nchi) alikuwa anamuoa Mdg wake na chief Hangaya.
.
Kimsingi huyo Mama ni mrembo na ana jicho zuri Mnoo na hata ni shemeji yangu ambae ni Mdg wake Wa Kuzaliwa na Chief Hangaya Nae ana jicho mno shida Yao ni Kuwa na Matiti Makubwa na Hawana maumbo #8

Sent using Jamii Forums mobile app
Matiti makubwa sii ndio mazuri mzeya huna shida ya kununua mto tayari unao natural one. Hilo mosi, pili wee hupendelei titty f.uck mzeya kama sehemu ya foreplay?
 
Na yeye anaenda kutiwa kwapani kama akina lukuvi na kabudi, haaahahahaaa.......asalaleee!!!! kweli wanaume wamebaki mkoa wa Mara.
 
Maza anachukulia feelings za watu poa sana, sijui nani anamshauri akisha tumbua watu au kuwaletea fitna awaite Ikulu kupiga nao picha au waje kwenye hafla zake.

Ndugai anaonekana hayupo comfortable kabisa kwenye hiyo picha wakati maza anaona kama vile photo opportunity ya mzaha; tena aibu ya ubaya inamsuta.

Ukishafanya maamuzi yako wacha watu waishi na maumivu yao sio kuwafanya vikatuni mbele ya jamii kwa kutumia camera za ikulu.

The woman is beginning to abuse her powers, hivi mmeona clips za wknd huko Zanzibar kwenye taarab sijui sherehe gani alivyokuwa ana nyari; yaani kama vile anawatambia wamama wenzake mnanijua mimi ni nani.

We get amiri jeshi mkuu is all powerful, ana haki za kuchagua watu wa kufanya nao na kuamua dira ya nchi. Fanya yako wahusika wata ji JJ jinsi ya ku deal na maumivu yao; that’s life ajali kazini mambo ya kawaida.

Lakini huu utamaduni wakitoto anaoendelea nao wakuchezea feelings za watu au tuite kudhalilisha watu ni tasteless.
Acha wivu wa kike
 
Niliwahi Kukutana na Huyu Mama miaka ya 2000+ wakati Huo tumeenda Zanzibar Kupeleka Mahari ambapo Kakayangu(Kwa Sasa Kaka Yangu ni Dc Wilaya Fulani ya Pembezoni mwa nchi) alikuwa anamuoa Mdg wake na chief Hangaya.
.
Kimsingi huyo Mama ni mrembo na ana jicho zuri Mnoo na hata ni shemeji yangu ambae ni Mdg wake Wa Kuzaliwa na Chief Hangaya Nae ana jicho mno shida Yao ni Kuwa na Matiti Makubwa na Hawana maumbo #8

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu embu njoo pm tuzungumze kikubwa kumbe umetulia na connection za maana.
 
... mbona mkuu wa nchi anaangalia pembeni? Hiyo picha inaongea mengi.
Yaani hapo kuna bifu la kufa mtu.
Ayubu ana hasira kama zote kwa huyu mama wa kizenj kumtemesha Usipika!
Hangaya ana hasira kama zote kwa huyu mgogo kudharau utawala wake!
 
Mwambieni Ndugayi orodha ya Nchi zinazotakiwa kupigwa mnada ni hizi 👇

Screenshot_20220322-211426.png

Screenshot_20220322-211310.png

Screenshot_20220322-211320.png
 
Back
Top Bottom