Job junction connect

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
635
554
Habari wanajukwaa, naulizia hivi wa job junction kuna mtu alishawahi kupata kazi kupitia wao? Maana walitoa tangazo wakasema tuma cv baadae wakatuma email wakaweka namba ya simu niwapigie, mara wananiambia leta cv tena hardcopy hivi mbona wababaishaji kuna ukweli hapo wa kupata ajira? Maana hata hizo kazi hazijaonyesha ni kampuni gan
 
Ni matapeli hao ndugu yangu hapo watakuita wanakwambia inabidi utoe 30k ya unachama ili wakutafutie kazi wakati hapo mtu kakuita kuwa umepata kazi
 
Niliwahi kwenda ofisini kwao ni pale makumbusho stendi. Wanachofanya wanakuunganisha na muajiri,watahitaji elfu 30 kama registration fee kisha utatafutiwa kazi utaenda kwenye interview (sio kuanza kazi) ukifanikiwa kupata unawapa 30% ya mshahara wako wa kwanza.

Niliona ni ubabaishaji nilikula chocho!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom