<br />BAGAMOYO UNIVERSITY? Ni state university, ya kidini au ya kata?
Tatizo la watz, wengi wao hawaoni kitu chochote kipya ni opportunity! Kwao kila kitu ni ubaguzi, vijineno visivyojenga, dharau na kejeli. Na ndio maana tupo hapa tulipo, na tusipobadilika hatutofika mbali!
Mimi nashindwa kuelewa when u say 'cha kidini' hapa tz una maana gani! KCMC tunatibiwa sote, madoctor pale ni waislamu na wakristo, st.Augostone ni hivyo hivyo, MuM pia halkadharika. Sasa ni nini tatizo lenu watz? Mmepandikiziwa mbegu ya chuki sasa mnaendeleza kuikuza, amin nawaambia, Mnavyovidharau vina thamani kubwa sana kwenu!
Huko tuendako Udini utashamiri sana nchi hii na madhara yake itakuwa athari mbaya kwa watanzania wote kama hatutabadili mitazamo inayoongozwa na udini!

Hivi kuna Bagamoyo univ?
<br />
<br />
KATA
BAGAMOYO UNIVERSITY? Ni state university, ya kidini au ya kata?
Tatizo la watz, wengi wao hawaoni kitu chochote kipya ni opportunity! Kwao kila kitu ni ubaguzi, vijineno visivyojenga, dharau na kejeli. Na ndio maana tupo hapa tulipo, na tusipobadilika hatutofika mbali!
Jamani hizi interview zikitoka tupeane taarifa au co wana jf.
Huko tuendako Udini utashamiri sana nchi hii na madhara yake itakuwa athari mbaya kwa watanzania wote kama hatutabadili mitazamo inayoongozwa na udini!
kama tatizo lako ni kama chuo cha bagamoyo ni cha kidini au cha selikali, nakujibu kuwa hapana, si cha kidini wala si cha selikali, ila kimeanzishwa na watu wenye dini ambao ni wakristo, akina Dr.Mvungi na Prof Mahalu kama unawajua...kama ukisikia jina la mkristo tu kafanya kitu unawaza kuwa ni kitu cha kidini, basi utafikiri hivyo....pangekuwa wameanzisha kina profesa safari na wengine, si jui ungesemaje....kwani wao ni waislam...mtaishia kunung'unika hadi milele, ndo maan akikwete aliwaambia mmechelewa na kila siku mnalalamika tu hamfanyi kitu cha maana...BAGAMOYO UNIVERSITY? Ni state university, ya kidini au ya kata?