Job advertisement at affluence training ltd

Feb 6, 2018
5
4
Please open the attachment for more details on advertised jobs at Affluence Training Ltd.
 

Attachments

  • JOB VACANCIES AT AFFLUENCE TRAINING LTD 1.pdf
    216.8 KB · Views: 77
Hamna kazi hapa hiyo Kampuni hewa haijaonyesha ofisi ipo wapi mbili anatumia gmail hivyo ombeni mtanipa mrejesho Hamna kazi hapo
 
Hamna kazi hapa hiyo Kampuni hewa haijaonyesha ofisi ipo wapi mbili anatumia gmail hivyo ombeni mtanipa mrejesho Hamna kazi hapo
Kama umesoma kiambatanishi chao mpaka mwisho utaona kuwa wameonyesha kwenye anuwani kuwa wapo Dar es salaam, pili yawezekana kampuni ndio ameanzishwa hivi karibuni hivyo kutumia anuwani ya barua pepe ya host ya gmail ni jambo la kawaida tu, kwani mimi mwenyewe kampuni ninayofanyia (ni kampuni binafsi) ina zaidi ya miaka saba tena ni kubwa tu kiasi ina watumishi 25 lakini mpaka leo tunatumia anuani za gmail na yahoo
 
Yaani namaanisha jengo gani au mtaa gani ambapo ofisi zinaonekana ndio Yale Yale ya kampuni za waswahili anaajili watu huku hajajipanga na kampuni ni mpya hatekelezi sheria ni taabu tupu na sisi watafuta ajira kaxi IPO ila huyu muhuni tangazo limekaa kitapeli tapeli halijafunguka kueleza kwa kina taarifa za kujitoshereza OK mtaoomba tutaomba mtupe mrejesho
 
Back
Top Bottom