Joaquim Chissano wins the the Mo Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership

Zitto

Former MP Kigoma Urban
Mar 2, 2007
1,562
10,880
Kesho ndio lile sekeseke la kumpata Rais Bora wa Afrika, wastaafu, linaanza rasmi. Index inatangazwa kesho 25th Sept.

Habari nilizo nazo za ndani kabisa ni kuwa ushindani mkali upo kati ya Rais Chissano na Rais Mkapa. Mnaweza kutoa maoni yenu kwa M I Foundation kuhusiana na mchuano huu. Mshindi ni lazima awe amestaafu ndani ya miaka minne. Karekou anegeweza kushinda lakini yupo tainted na alivyoingia madarakani. Haya wana JF

The Ibrahim Index of African Governance is a new, comprehensive ranking of sub-Saharan African nations according to governance quality. It has been created in recognition of the need for a more comprehensive, objective and quantifiable method of measuring governance quality in sub-Saharan Africa. The Index assesses national progress in five key areas, which together constitute a holistic definition of good governance.

  1. Safety and Security
  2. Rule of Law, Transparency and Corruption
  3. Participation and Human Rights
  4. Sustainable Economic Development
  5. Human Development
The inaugural Ibrahim Index of African Governance will be published on this website on Tuesday 25th September 2007.
 
Zitto, Ahsante sana kwa ujumbe huu. Kwa mara nyingine tena inaelekea sauti za wananchi toka nchi husika hazikupewa nafasi kuhusu kiongozi wao kama anastahili kushinda au la.

Inaelekea mambo ni yale yale ya Rais wa nchi kusifiwa na IMF na WB kwamba anafanya kazi nzuri ya kuongoza nchi yake, wakati wananchi walio wengi katika nchi husika wana mtazamo tofauti na IMF na WB.

Mkapa sio tu hastahili kushinda bali hata kushiriki katika kumpata mshindi wa Good Governance katika nchi za Afrika.
 
Sijui lengo kamili la tuzo hii. Hata hivyo kwa jinsi nilivyomfhamau Mkapa sasa kwa namna alivyoitendea nchi hii mambo mabaya, niko tayari kuona tuzo hilo likienda kwa Chissano kwa vile yeye aliitoa nchi yake kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe na hadi leo hii uchumi wao ni bora kuliko wa Tanzania, hata wameifunga Taifa stars.
 
Fine, Mkapa akishinda hili tuzo dawa ni kukata rufaa kwa ku-challege vigezo walivyotumia kwa ushindi wake.

Itakuwa ni aibu na matusi kwa Watanzania wanao adhibika kwa sababu ya ufisadi wa Mkapa, halafu leo anakuwa awarded kwa kuwafanya wananchi wake wawe maskini wa kutupa. Do you guys feel me?
 
SIAMINI kama Mkapa atashinda. Kuwapo kwake kuwa mshindani wa CHisano, nadhani ilikua kabla ya kuibuka kwa kashfa zake za waziwazi, ukiachilia mbali tuhuma dhid ya mkewe zilizokua zinajulikana kwa muda mrefu. Lakini hata hizo tuhuma dhidi ya mkewe zilitosha kumpunguzia vigezo.

Jambo la pili, ni kwamba kama Mkapa amekua angalao katika mbili bora, hii ni HATARI na ni dalili kwamba WASTAAFU WETU WOTE WA AFRIKA NI MAFISADI
 
Watanzania tungefurahia sana kuona Rais wetu mstaafu anashinda tuzo hii, lakini baada ya kashfa na tuhuma mbali mbali dhidi ya Mkapa na familia yake wakati wa uongozi wake na kitendo chake cha kukaa kimya kuhusiana na tuhuma hizo (sijui ni dharau) basi Watanzania popote pale tulipo lazima tuseme wazi kwamba Mkapa hastahili kushinda tuzo hiyo.
 
Vigezo wanavyotumia kama wataangalia kwa undani basi chisano anaweza kumshinda Ben kwa mbali sana. Tusubiri tuone matokeo lakini my card ipo kwa chisano.
 
People,

Most African leaders are devils, it seems on this BWM is a better devil so far..........waungwana mwasemaje
 
Mkapa akishinda tumekwisha ... maana serikali ya JK ndiyo itashikia bango huo ushindi kama kete ya kujisafisha kwamba imekuwa ikiandamwa na kashfa za kizushi. Mungu atunusuru na hii dhahama maana ushindi wake itakuwa ni kilio kwa watanzania na jinsi CCM na serikali watakavyoipamba ili tu kuua hoja nzito za upinzani zinazohitaji majibu kutoka serikalini!
 
Yawezakana hapa JF tuna makengeza ikiwa wenzetu nje wanaona mazuri ya viongozi na sie hatuyaoni.. something must be wrong somewhere....
 
Yawezakana hapa JF tuna makengeza ikiwa wenzetu nje wanaona mazuri ya viongozi na sie hatuyaoni.. something must be wrong somewhere....

Wenye Makengeza ni hao watu wa IMF na WB ambao wapo Washington, hawajui chochote kuhusiana na hali halisi ya maisha ya wananchi huko Namtumbo, Kibondo, Buzwagi na sehemu nyingi ndani ya Tanzania, wakati huo huo wanatoa sifa kibao kwa Mkapa ambazo hazina misingi yeyote. Sidhani kama wanajua hata tuhuma moja kati ya tuhuma mbali mbali zinazomkabili Mkapa ambazo ni nzito na anaweza kufunguliwa mashtaka nchi yeyote ile duniani isipokuwa Tanzania na kufungwa na kufilisiwa mali yote iliyopatikana kiharamu.
 
Huenda vigezo ni kama huyo kiongozi amesaini mikataba na kuwaficha wananchi hata bunge , kama hiyo ndio maana mpya ya transparency, tunakataa vipi mkapa kushinda.*
*
Huu ni mchezo mchafu mwingine na je , huyu bwana anauhusiao wowote na kampuni zilizowekeza hapa nchini.*
*
Je, majaji ni watu wenye hisa kwenye makampuni yanayotuhumiwa kuwapa rushwa viongozi wetu, kama ndivyo huenda wakashiriki kutufanya tuamini uwa mkapa ni kiongozi bora wa afrika.
 
Masatu I agree with you something is wrong between Tanzanians na wenzetu wa nje. Tofauti kubwa ni kwamba they see our problems and progress (through media esp.) while we feel and experience them in our daily lives. So kwa sababu hiyo lazima tutakuwa na different perspective ya maendeleo nchini mwetu. Sisi tunajua uchungu wa kufiwa mtoto/mjomba kwa kukosa aspirini wakati wenzetu wanajua uchungu wa raia wetu kwa statistics za IMF, WB, BOT nk.
 
People,

Most African leaders are devils, it seems on this BWM is a better devil so far..........waungwana mwasemaje

There is no such thing as a better devil, the devil is evil peroid.If Tanzanians are more tolerant/peaceful and docile ,that does not make our Presidents better people.Lets be serious and call a thief a thief and not a better thief than the other thieves.
 
Masatu I agree with you something is wrong between Tanzanians na wenzetu wa nje. Tofauti kubwa ni kwamba they see our problems and progress (through media esp.) while we feel and experience them in our daily lives. So kwa sababu hiyo lazima tutakuwa na different perspective ya maendeleo nchini mwetu. Sisi tunajua uchungu wa kufiwa mtoto/mjomba kwa kukosa aspirini wakati wenzetu wanajua uchungu wa raia wetu kwa statistics za IMF, WB, BOT nk.

Hivi ni nani aliye nje amewahi kutumia statistics za IMF, na WB!? Hizo si ndio zinaonyesha uchumi wetu unakuwa kwa asilimia kuanzia 5 na kuendelea? Na miaka yote vyombo hivi vilikuwa vinamsifia Mkapa? Walio nje wana wazazi wao, ndugu jamaa na marafiki chungu nzima Tanzania hivyo hawahitaji statistics za kutoka WB na IMF ili kujua hali halisi ya Tanzania na wengi hutembelea Tanzania karibu kila mwaka.

Wafanyakazi wa Tanzania wanaotishia kugoma kwa mishahara midogo, wananchi wa Buzwagi waliomzomea EL n.k. hao pia walihitaji namba kutoka WB na IMF ili kujua kwamba wanalaliwa katika ajira na rasilimali zao? Labda ungefafanua ulikuwa unamaanisha nini.
 
African nations’ governance ranking to be unveiled today

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

A NEW comprehensive ranking of sub-Sahara African nations according to quality of governance is to be unveiled today with Tanzania expected to fare comparatively well in the areas of rule of law and transparency.

Dubbed the Ibrahim Index of African Governance, the assessment has been initiated in recognition of the need for a more comprehensive, objective and quantifiable method of measuring governance quality at national levels.

The index assesses national progress in five key areas, which together are considered to constitute a holistic definition of good governance.

These are safety and security; rule of law; transparency and corruption; participation and human rights; sustainable economic development and human development.

The inaugural Ibrahim Index of African Governance, to be published today, was created by Dr Mo Ibrahim, a global expert in mobile communications.

A Sudan national by birth, Dr Ibrahim is the founder of Celtel International, which was sold to MTC Kuwait in 2005 for $3.4bn.

The Mo Ibrahim Foundation is next month expected to select the winner of the �Mo Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership.�

Former UN secretary general Kofi Annan is joined by five other eminent individuals on the committee that will select the winner of the prize on October 22.

Other members of the selection committee are former Tanzanian prime minister and OAU secretary general Dr Salim Ahmed Salim; former Finland president Martti Ahtisaari; and Guinea’s former education minister A�cha Bah Diallo, special advisor to the UNESCO director-general.

Also on the panel are Nigeria’s former finance and foreign minister Ngozi Okonjo-Iweala; and former Ireland president and UN High Commissioner for Human Rights, Ms Mary Robinson.

Worth $5m over 10 years and $200,000 annually for life thereafter, the prize is open to former heads of state or government from sub-Saharan Africa who have left office in the last three years after demonstrating exemplary leadership.

Insiders say Tanzania’s immediate former president Benjamin Mkapa and Mozambique’s retired leader Joachim Chissano are both among ex-presidents being considered for the award.

The selection committee will assess every sub-Sahara African leader who has left office in the last three years on their exercise of leadership.
 
Rwanda Africa's 'most improved'
BBC News Online

Rwanda has been named the most improved sub-Saharan nation in a survey looking at their performance over five years.
The Ibrahim Index, financed by Sudanese mobile phone magnate Mo Ibrahim, names Mauritius as the best-governed and Somalia as the worst-governed state.

Harvard University academics analysed the criteria used to rank countries.

The Mo Ibrahim Foundation is next month due to award over $5m - to the former African head of state who is judged to have demonstrated exemplary leadership.

The presidential prize is also aimed at encouraging best practice.

Who will win the $5m prize?

They assembled data from various sources including the United Nations, the anti-corruption watchdog Transparency International, and thinktanks such as Freedom House.

Countries are measured under categories like "Safety and Security" and "Human Development".

When these categories are put together an overall ranking is reached.

Ranking order

BBC Africa analyst Martin Plaut says the survey's results are startling.


Mauritius draws in lots of tourist dollars

While finding states like Mauritius and the Seychelles at the top of the index and stateless Somalia at the bottom will come as no surprise, Africans might find others results difficult to comprehend.

Human rights organisations often portray Rwanda as a state in which the opposition is repressed and journalists harrassed and intimidated.

Doing so well perhaps indicates how much store academics put on development rather than such freedoms, he says.

Two island nations top the list of the best governed, Mauritius (Number 1) and Seychelles (2).

Both are stable, relatively wealthy states which have little in common with mainland Africa except for the fact that they are members of the African Union.

Mauritius is a sugar-exporting tourist destination which has also developed a clothing industry. It has a prominent Hindu community which looks to India as much as it does to Africa for trade and cultural ties.

Seychelles is a luxury tourist destination.

The next batch of countries on the best-governed list are more typical of the bulk of African states.

Botswana, at Number 3, is a stable democracy that earns its money from diamonds and agriculture.

Cape Verde (4) is a former Portuguese colony which survives economically from remittances by expatriate Cape Verdeans - there are said to be more Cape Verdeans in Boston, Massachusetts, than there are on the islands themselves!

South Africa (5), Ghana (8) and Senegal (9) are all vibrant democracies that are proud to have politically well-informed populations.

The BBC's Word Affairs correspondent Mark Doyle says in some senses it is high-ranking countries like these which are the role-models for the rest of mainland sub-Saharan Africa - rather then the actual winner Mauritius, which is a very particular case.

Worst-governed, according to the list - at Number 48 out of 48 - is Somalia, a country which has not had a functioning government since the overthrow of the dictator Siad Barre in 1991.

The most recent manifestation of the country's troubles has been a bloody conflict between an Islamist group and a government which, although it is recognised by the outside world, only remains in power thanks to a military intervention by neighbouring Christian-dominated Ethiopia.

Other countries scoring badly include Democratic Republic of Congo (47), Chad (46) and Mo Ibrahim's home state of Sudan (45).

Merits of prize

A spokesman for the Mo Ibrahim foundation said there was no automatic link between the "best governed country" index and the "best former president".


Mo Ibrahim has launched the index to combat corruption in Africa

But the number 2 spot given to Seychelles as a country might incline former Seychellois President France-Albert Rene, who is on the presidential longlist, to dream of a comfortable retirement.

It appears that the $5m prize awarded on 22 October will be given to an ex-president as a personal retirement gift to be paid in annual tranches, because the Mo Ibrahim foundation also states that a further sum of $200,000 per annum "may be granted" by the Foundation for "good causes espoused by the winner".

The implication of this is that the bulk of the money can be spent as the recipient chooses.

One keen observer of the African scene said granting such a large sum of money to an individual was "scandalous" and that all of it should go to causes like ending poverty on the continent.

Others said the prize had to be substantial to have any realistic prospect of actually encouraging good governance while in office - and that the $5m would spark a valuable debate in civil society about what it means to run a country well.

Nelson Mandela, a towering political figure who would almost certainly have won the prize had he retired within the stipulated 2004-2006 time-frame, said:

"This is an African initiative celebrating the successes of new African leadership. It sets an example that the rest of the world can emulate. We call for leaders across the world - in government, civil society and business - to endorse its aims and back its vision."
 
Who is up for Africa's $5m prize?
BBC News Online

The BBC's Mark Doyle looks at which former African leaders are in the running to win the $5m leadership prize.

Mozambique's Mr Chissano has strong credentials as a democrat

The Mo Ibrahim Foundation is next month due to award over $5m to the former African head of state adjudged to have demonstrated exemplary leadership.

The presidential prize is aimed at encouraging best practice.

The lucky recipient of what the organisers call "the world's biggest prize" will be named on 22 October.

The winner will then be paid the $5m in tranches over a period of 10 years, with a further $200,000 for life thereafter.

The international panel of judges includes former UN Secretary General Kofi Annan, former Irish President Mary Robinson and the respected ex-Finance Minister of Nigeria, Ngozi Okonjo-Iweala.

All 13 African heads of state or government who left office between 2004 and 2006 are eligible for the cash prize - including, perhaps surprisingly, the former transitional president of war-torn Somalia.

Others in the running include the former presidents of:

Benin - Mathieu Kerekou

Mozambique - Joaquim Chissano

Tanzania - Benjamin Mkapa

Seychelles - France-Albert Rene

These candidates could advance a claim to have behaved well.

Mr Kerekou, for example, was the first mainland African head of state to have allowed free multiparty elections - and to have then stood down when he lost.

Mr Chissano played a key role in ending the war in Mozambique.

Mr Mkapa kept Tanzania on a relatively stable political course despite unrest in neighbouring countries.

And Mr Rene also looks a strong contender, with Seychelles ranked as one of Africa's best governed states.

Tempation

Curiously, the late military strongman of Togo, Gnassingbe Eyadema, who died in office, is also on the list of possible recipients.


The prize might persuade Bakili Muluzi to relinquish further ambitions

A spokesman for the Mo Ibrahim Foundation stressed that the list was a "long list" of all the former heads of state or government and not a "shortlist" chosen by the prize committee.

One of the men named in the "long list", former President Bakili Muluzi of Malawi, told me through a trusted contact that he did not think he qualified for the prize because he does not want to be an "ex-president".

Mr Muluzi intends to stand for office again - and is currently engaged in a controversial political and legal battle to do so.

A senior diplomat posted to Malawi told me Mr Maluzi's new bid for power had caused "political deadlock".

He speculated that the prize raises the fascinating possibility that it could end that deadlock by tempting Mr Muluzi into retirement with a handsome pension.
 
Back
Top Bottom