Jo Makini amekosa umakini. Anaimba imba tu maneno yasiyo na maana

Joe anachotaka kufanya ni kutaka kwendana na soko la sasa coz ukiangalia na kuchunguza nymbo nyingi za sasa hazina ujumbe kama za zaman¤
Mfano nyimbo kama za G NAKO Na NIKI WA 2 ( weusi kwa ujumla )
 
Sisemi ni lazima ziwe na ujumbe serious ila namaanisha hata maneno yawe na maana basi.siyo kuunganisha unganisha tu maneno

Joe anachotaka kufanya ni kutaka kwendana na soko la sasa coz ukiangalia na kuchunguza nymbo nyingi za sasa hazina ujumbe kama za zaman¤
Mfano nyimbo kama za G NAKO Na NIKI WA 2 ( weusi kwa ujumla )
 
Ukweli Ni Kwamba Watanzania Wengi Sasa Wamejaa Ugonjwa wa Kupenda Nyimbo Zisizokuwa Na Maana, Na Hii Inachangia Na Timu Timu Hizi Ndio Zinaharibu Huu Muziki Wetu, Mnansema John Makini Lakini Nyimbo Za WCB Nazo Nyingi Zina Mashairi Yasiyoeleweka Ili Mradi Tu Vina Vifanane.
Lakini Watu Wanapenda Hivyo Hivyo Na Kushangilia Mfano; Kwangwalu, Nyegezi, Lavalava& Mbosso Ft Diamond..
Hizo Ni Mfano wa Nyimbo Tu Ambazo Kuna Maneno Ya Ajabu Ajabu na Hayana Maana Lakini Watu Ndio Wanasema Ni Nyimbo Kali.

Muacheni Joh Makini Na WEUSI Waimbe Vile Mashabiki Zao Wanataka Ili Kuendana Na Soko La Muziki Uliyopo
 
Ule wimbo wa Simwachii Mungu ,,una title nzuri ila pia kazingua ,,tatizo lake sio kwamba hana umakini ila hajui kuandika hata kidogo ,,Tunaendelea kumfahamu kwa sababu ya media power tu
 
T
Huyu jamaa anapenda hip pop na uwezo wa ku flow anao mzuri si mbaya.shida kubwa amekosa akili ya kutunga wimbo ukawa na maana yaani ukaeleweka anaongelea nini

Ana tofauti kubwa na fid q ambaye anaonekana kuwa ni mtu mwenye akili anatulia anapoimba na ana falsafa.jo makini ukisikiliza nyimbo zake maneno mengine ni ya kipuuzi ili mradi akamilishe vina.

Nmemsikia anasema
"....akate gogo
Akalie kigogo...."

Na mengine mengine mengi ya kipuuzi ili verse iishie na GO. nyimbo zake nyingi ana flow nzuri lakini anakosa akili ya kutunga mistari yenye madini kama wengine hasa fid q. Najua watu wa R Chuga hapa watakuja kutoa povu sana.

Mi nmesema ninachokiona.jo makini hana akili au umakini wa kutunga mistari yenye akili au madini.analazimisha vina.
True ...sio yeye tu " hata yule nick wa pili ..sijui ndio anaimba nini upuuzi mtupu
 
Jamaa hajui kuandika ingekuwa vizuri angesaidiwa kuandika kuliko kupoteza heshima aliyonayo....!Mbona rahisi tu kuandikiwa....Ma-ghost writer tupo huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom