Ndugu wana JF.
Najua mengi yamejadilliwa juu ya milipuko ya mabomu Gongolamboto. Jambo moja linanipa shida ni pale Rais J. M. Kikwete katika kauli yake kuonesha masikitiko makubwa sana kwa kile alicho sema ni hasara ya kupoteza mabomu iliyoipata serikali. Je, ni halali kauili hii ipite bila kujadiliwa???? Wabunge na wanasiasa wa mlionje ya CCM, je hii ni kauli nzuri ya kisiasa inayotakiwa kutolewa na mkuu wa nchi?????
Je, mtu, kama mfanyakazi wa TTCL aliyepoteza mke, watoto wawili na ndugu yake atapokeaje kauli hii ya rais??????? Kuna nini hasa cha kumpongeza mkuu wa majeshi katika jambo hili???????