JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2020 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

Sasa km hukwenda unajuaje unakataaje mtoto wa kike kwenda? Au habari za kusimuliwa ndo zinakupumbaza??
Nimejuaje? Kwani we kujua Singida ipo ni lazima ufike uko.
Dada mmoja ana mtoto sahivi, usiniulize kapataje mimba na hatua gani zilifuatia baada ya tukio hilo.
 
niliona jina langu nikapita kushoto nkajua watabania chuo au mkopo vyte nkapata
mambo mengine yawekwe hiari tu sio kulazimishana....
 
Washkaji zangu wana nyota now
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
JK alikuwa mtu poa sanaaa
Nchi imesambaratika hakuna mawasiliano kati ya kitengo/Idara moja ya serikalini na nyingine.
Hawa wanafunzi wanatakiwa kuanza kujaza maombi ya Loan Board mwisho wa July. Wakati huo huo waende JKT.
Matokeo yatoke August wakiwa Jeshini halafu waanze kuomba Vyuo Vikuu.

Awamu ya viroja hii.

Halafu wameanza kuwabebesha wazazi mizigo wa kununua vifaa. Wameomba kwenda huko? Kwa nini serikali isinunue?

Utashangaa wao wenyewe ndiyo wauzaji vifaa vinavyotakiwa.

Wazee wa Elimu bure hao.

Mkuu usishangae kwa hili. Kwenda jkt ni hiari ya mtu. Ila mizazi mingi inachekelea na kukenua meno utadhani mtoto anaenda kuajiiwa huko. Iko tayri ikakope ili mradi mtoto aende. Mimi mwanagu awe wa kike au wa kiume No kwenda kupoteza mda huko
 
Haya ni maujinga Kama maujinga mengine tu.Na corona hii mnawakusanya watoto huko ili iweje?
 
acha tu, mabinti wengi wanatoka huko na UKIMWI, ndoto zao zinaishia hapo, laiti wazazi wangejua kinachoendelea huko, wangesikitika sana
Inawezekana hali imebadilika baada ya serikali kuliona hilo tatizo , na ni juu ya jkt kutoa assurance kwa recruit kwamba huko ni strictly mambo ya kijeshi , uzalishaji mali basi sio uonevu
 
Jamani Nimepangiwa nachingwea huko lindi wajuvi tujuzane niko huku kwa ustaz juma na Musoma
Nimeskia inawezekana kuhama kambi nina mpango niingie rwamkoma coz niko Mara ila Nimepangiwa Lindi gharama sitaziweza au kuna tatizo wadau
 
Mwaka 2020 kwa hawa madogo, kambi gani kuruti wanaopenda kuendelea na jeshi wataruhusiwa kuandika majina na kusubiri kuitwa ili waje kuendelea na jeshi ? Mwenye info atoe wakuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom