JKT wafanya mazoezi mazito kujiandaa na sherehe za uhuru

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Jeshi la kujenga taifa limeendelea na mazoezi yake uwanja wa taifa kujiandaa na maadhimisho ya sherehe za uhuru Disemba 9

UHURU wa nchi gani?. I hope ni UHURU wa Tanganyika na sio Tanzania Bara. Hakuna nchi inaitwa Tanzania Bara.
 
Kumbe zimepatikana za walalahoi zinaliwa tena na ccm ile ile bora hizo pesa waje watujengee hii barabara ya Tarime to Nyamongo
 
Ndio yale mazoezi ya kupiga vichwa mikate huku wakidanganya kwamba ni matofali ?

Mkuu hao ' Jamaa ' tuwape tu ' Heshima ' yao na sidhani kama tunastahili ' kuwadhihaki ' hivi. Tanzania yetu inasifika mno kwa kuleta ' Ukombozi ' wa nchi zilizo na ' mitafaruku ' ya Kisiasa kwa kuwatumia hawa hawa ' Makomandoo ' wetu unaowadhihaki ambao huwepo katika karibia Peace Missions zote ambazo nchi yetu inapeleka ' Jeshi ' lake. Nimalizie tu kwa kukuomba tena Mkuu kuwa hawa Jamaa ' Makomandoo ' wetu wa Tanzania tuwaheshimu na tujivunie nao. Nina mengi ya kuwaelezea ila naomba tu niishie hapa.
 
Hongera Tanganyika kufikisha miaka 55! Umasikini na maradhi ajira na ujinga bado adui number 1 nchini!!
 
Mkuu hao ' Jamaa ' tuwape tu ' Heshima ' yao na sidhani kama tunastahili ' kuwadhihaki ' hivi. Tanzania yetu inasifika mno kwa kuleta ' Ukombozi ' wa nchi zilizo na ' mitafaruku ' ya Kisiasa kwa kuwatumia hawa hawa ' Makomandoo ' wetu unaowadhihaki ambao huwepo katika karibia Peace Missions zote ambazo nchi yetu inapeleka ' Jeshi ' lake. Nimalizie tu kwa kukuomba tena Mkuu kuwa hawa Jamaa ' Makomandoo ' wetu wa Tanzania tuwaheshimu na tujivunie nao. Nina mengi ya kuwaelezea ila naomba tu niishie hapa.
Asante kwa taarifa ,
Lakini je Hiyo imesaidia nini katika uchumi wa nchi yetu ?
 
Back
Top Bottom