Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Jeshi la kujenga taifa limeendelea na mazoezi yake uwanja wa taifa kujiandaa na maadhimisho ya sherehe za uhuru Disemba 9
Hatujengi.Hatujengi barabara mwaka huu?
Mbona una haraka mkuu! Tangazo linaweza kutolewa kwenye taarifa za habari usiku wa tarehe 8/12/2016 na askari wote wakaambiwa warudishe posho walizochukua kwani hizo fedha zinahitajika kujengea daraja la Kilombero.Hatujengi barabara mwaka huu?
Mashikoro mageniNdio yale mazoezi ya kupiga vichwa mikate huku wakidanganya kwamba ni matofali ?
Bado kidogo utajiita mwasaba 2 umekalia sindano tulia dawa iingieChadema kwisha habari yao
Amang'ana gasarikile .Mashikoro mageni
Ndio yale mazoezi ya kupiga vichwa mikate huku wakidanganya kwamba ni matofali ?
Kuwa bavicha ni jangaNdio yale mazoezi ya kupiga vichwa mikate huku wakidanganya kwamba ni matofali ?
Asante kwa taarifa ,Mkuu hao ' Jamaa ' tuwape tu ' Heshima ' yao na sidhani kama tunastahili ' kuwadhihaki ' hivi. Tanzania yetu inasifika mno kwa kuleta ' Ukombozi ' wa nchi zilizo na ' mitafaruku ' ya Kisiasa kwa kuwatumia hawa hawa ' Makomandoo ' wetu unaowadhihaki ambao huwepo katika karibia Peace Missions zote ambazo nchi yetu inapeleka ' Jeshi ' lake. Nimalizie tu kwa kukuomba tena Mkuu kuwa hawa Jamaa ' Makomandoo ' wetu wa Tanzania tuwaheshimu na tujivunie nao. Nina mengi ya kuwaelezea ila naomba tu niishie hapa.