JKT RUVU 1993 (OPeresheni Miezi SIta) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JKT RUVU 1993 (OPeresheni Miezi SIta)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ntambaswala, Apr 12, 2010.

 1. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani naomba kuwakumbuka vijana waliokuwa Ruvu JKT 1993- operesheni miezi sita. Mnamkumbuka Afande Kibuyu, Afande Amani, Afande Simba, Afande Linus, Afande Mazani, Afande .........ambaye alikuwa ni major akatolewa nyota moja sababu ya mademu, afande yule aliyepotea Uganda wakati wa vita na LMG kwa miaka miwili akaja kupatikana baadaye buti yake imeota majani.

  Nakumbuka baadhi ya makuruta.
  1. Deo Mnyamani
  2. Magilani Mollel
  3. Ben
  4. Linus
  5. Fahad Ibrahim
  6. Davida Martin (Tawfiq)
  7. Dorin Mmari
  8. Agness Ignas
  9. Irene Maira
  10. Hellen Lyatuu
  11. Siasa
  12. Edga Temba
  13. Kapaya Kisesa
  14. Freddy Mkonyi
  15. Fatuma Selemani
  16. Janet Rugarabamu
  17. Neema Sanga
  18. Edwin Sanda

  Natumaini wengine ni members humu kama mimi mwenyewe
   
 2. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2010
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  huyu edwin sanda ndio huyu mjumbe wa NEc CCM kupitia vijana maana mwaka juzi alikuwa na miaka 29, kwa hesabu za haraka alipita JKT mwaka 93 akiwa na miaka 15
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nilivyoelezwa Maginani Mollel is no longer in this World; PRAISE THE LORD!!!
   
Loading...