barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Habari zenu!
Nimesikitishwa sana na kilichotokea ligi daraja la kwanza ktk mechi zilizohusisha timu zenu za JKT.
Timu za JK kanembwa na JKT Oljoro wametia aibu kwa 'kupanga' matokeo ya 'kununuliwa'.
JKT OLjoro wameruhusu kupigwa 7-0 na Polisi ili kuipa faida ya magoli Polisi iweze kupata faida ya magoli mengi ili ipande ligi kuu, lakini upande mwingine nao JKT Kanembwa wakaruhusu bao 8-0 ili kuipa Geita faida ya magoli dhidi ya Polisi.
Timu za JKT nilitegemea kuwa zitakuwa za mfano wa kuigwa kwa kuwa na nidhamu ya hali ya juu.
NI WAKATI SASA MJITATHMINI NA HIZI TIMU ZENU MAANA HATA ZA LIGI KUU NAANZA KUWA NA MASHAKA NAZO MAANA ZINAPEWAGA DOZI NZITO SANA.
Jipangeni na chukueni hatua kali dhidi ya wahusika.