Jkt kuingia mkataba na mtuhumiwa wa epa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jkt kuingia mkataba na mtuhumiwa wa epa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Jul 17, 2011.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Jeshi la kujenga Taifa, limeingia mkataba wenye harufu mbaya, na mtuhumiwa wa wizi wa fedha za walipa kodi ktk akaunti ya madeni ya nje (BOT) ndg JEETU PATEL,mkataba huo unahusu uingizaji wa matrekta,nilitegemea uadilifu mkubwa toka jeshini kumbe nako kunavujaaaaa.
   
Loading...