Jkt-diploma.degree,masters na zaidi.......

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Sasa imefika wakati wa kutoa nafasi za JKT kwa wataalamu wote...na kuacha mawazo mgando kuwa JKT ni kwa std 7 FORM 4,NA FORM 6 TU.
 
Wazo zuri...lakini je hao wenye hizo masters na ma-degree mengine wanavutika kwenda huko kwa kiasi gani?
Kwanza bongo hizo digree zenyewe zinapatikana kwenye umri gani? May be kwa sasa hivi wanafunzi wanajiunga na shule mapema na hawasubiri mwaka mzima ndo wajiunge na chuo huenda wakapata degree katika umri mdogo!
 
Ukiwa na digrii wanaconsider umri hadi miaka 30.jaman jkt tena inapenda sna wasomi wenye fani zao sema wasom wengne hawapend au wanaogopa jesh.Mm stil nakamua tu nkishapata digrii natumbukia huko tu.
 
nafasi zote hizo iwe polisi,magereza,jkt na jwtz tunazisubiria sana sisi magraduate hali ni mbaya mtu ukiona anachagua basi huyo mambo safi
 
Ukiwa na digrii wanaconsider umri hadi miaka 30.jaman jkt tena inapenda sna wasomi wenye fani zao sema wasom wengne hawapend au wanaogopa jesh.Mm stil nakamua tu nkishapata digrii natumbukia huko tu.

mi najua graduate wote age mwisho 35...
 
ujumbe utakuwa umefika tunasubiri hizo nafasi watoe tujichanganye huko........uzalendo muhimu...
 
Back
Top Bottom