JKT 2018 updates

Kuna mafunzo ya mgambo yanaendeshwa huku nilipo wote ni waliofeli shule wengine wamepambana na maisha yakawashinda na fursa hii ya ugambo haihitaji elimu yako inataka utimamu wa mwili tu. Wakimaliza wakajiriwe KK security au walinde tunaotupa uchafu hovyo (mgambo wa jiji)
Kaka hayo mafunzo yameisha, na intake mpya ni lini nahitaji kuja kujifunza hayo mafunzo ya mgambo aiseee. Njsaidie mkuu taarifa kamili katika ilo pliiz. Au kwa msaada 0752849498

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaaa sawa na hayo matangazo hua kila kata yanafika ofic zip, na had uje upewe chet mnajifunza kwa muda gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijawahi kupita mgambo, ila najua washauri wa mgambo waliopo mikoani na wilayani huchagua baadhi ya makao makuu ya tarafa ili zoezi hilo lifanyike na wanatangaza kupitia watendaji wa vijiji, na mbao za matangazo za halmashauri
 
Ahaaaa sawa so unanishauri baada ya miezi kama 2 mbele nianze kutembelea tembelea mbao za matangazo za wilayani?, maana niko dar mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom