JKay ataanzia Nchi gani Awamu hii??

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreaTtHinkers,
Kama ilivyozoeleka kuwa yeye ni Mzee wa Int. Trips mnadhani ataanzia nchi gani safari hii?:target:
 
Anavuta pumzi kwanza watanzania wajisahaulishe na ugumu wa life then aanze uzururaji nahisi ataanzia spain akapige picha na machampion wa world cup then ujerumani kushuhudia kaburi la yule pweza.
 
Nadhani kituko cha kuanzia itakuwa serikali yake kununua mitambo yake na akina lowasa,rostam,,,ya richmond kwani baada tu ya uchaguzi ndipo umeme unakuwa hautoshi..........km hamuamini kaeni kimya muone
 
Nasikia Grammy awards zipo karibu..nadhani akitoka Germany ataungashia uko!
 
Hii hoja naikubali.........na wala si umeme tu, awamu zote mbili, punde tu anapomaliza/anapokuwa katika mchakato wa kupanga safu yake,bei za vitu hupanda almost 2times..eti mpaka soda--kinywaji rahisi ambacho tulitaraji kingeshuka!! Na sasa mgao wa umeme tena...hila ili watafute Richmond mwingine....
Sijui!!!
 
Ataenda German. Ratiba yake ikulu inaonyeah amealikwa kufungua mnara wa Kumbukumbu ya Pweza Paul na kumsimika PaulII.

Hayati Paul alimtabiria ushindi wa uraisi na ameshinda. lol

Kikwete tulia ujenge nnchi.
 
Hilo inabidi aende kuuliza kwanza bagamoyo...ndiko kwenye signal zake
 
Nadhani kituko cha kuanzia itakuwa serikali yake kununua mitambo yake na akina lowasa,rostam,,,ya richmond kwani baada tu ya uchaguzi ndipo umeme unakuwa hautoshi..........km hamuamini kaeni kimya muone


I agree with you 100%
 
Anaanzia Brussels weekend hii..na baada ya hapo anaelekea USA kibinafsiii..duh jamaa anapenda USA kupita maelezooo...
 
Back
Top Bottom