Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
JK Ameondoka nchini Tanzania jana usiku kwa mwaliko wa Rais Hollande ili kuhudhuria mikutano miwili itakayofanyika nchini Ufaransa.
Acha akatafute chapaa.
Jamaa naona alihajipangia kila mwezi lazima asafiri nje,na hakuna rais duniani ambaye nmeona amesafiri km huyuukizingatia na ni yetu ilivyo masikini,njiuliza sijui wanatumia pesa ngapi iyo entourage yake per trip walipa kodi?Hivi nauliza, kwani vingozi wengine wakuu waliomtangulua JK mbona walikuwa hawasafiri mara kwa mara kama JK? Yeye ana nini na hizi safari? Kuna mtu mmoja aliwahi kusema eti bado anajiona ni Waziri wa Mambo ya nje!!!! Je kuna ukweli?
Tiba
CCM ni CHAMA CHA WAISLAMU
Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu
Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam
Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu
We jamaa/dada unanikosha, kila thread lazima nilikute hii post yako, kweli umezamiria! Kula like!
CCM ni CHAMA CHA WAISLAMU
Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu
Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam
Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu
Hivi ule utabiri wa TB Joshua uliishia wapi??Jamaa naona alihajipangia kila mwezi lazima asafiri nje,na hakuna rais duniani ambaye nmeona amesafiri km huyuukizingatia na ni yetu ilivyo masikini,njiuliza sijui wanatumia pesa ngapi iyo entourage yake per trip walipa kodi?
Tunakoelekea ni kubaya sana kama tukiendekeza mambo haya ya udini.CCM ni CHAMA CHA WAISLAMU
Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu
Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam
Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu
Tunakoelekea ni kubaya sana kama tukiendekeza mambo haya ya udini.