JK: Watu binafsi wachunguzwe na Sekretariati ya maadili ya umma

taffu69

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,095
538
Venance George, Kidatu
RAIS Jakaya Kikwete ametaka marekebisho yanayofanywa katika Sheria ya Maadili ya Utumishi wa Umma, yatumike pia kuwabana matajiri wasio watumishi wa umma ili kujua kama mali walizo nazo wamezipata kihalali au la.

Akizungumza katika hafla fupi ya kufunga mafunzo ya upelelezi na uchunguzi kwa maofisa 50 wa sekretarieti hiyo iliyofanyika katika Chuo cha Maofisa wa Polisi Kidatu, Morogoro jana alisema hatua hiyo itawezesha watu binafsi kuchunguzwa.

Aliitaka Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma kuingiza kipengele kitakachoipa nguvu kuchunguza mali za watu binafsi wakiwamo wafanyabiashara katika sheria inayofanyiwa mapitio.

Alisema sheria ya sasa inawabana watendaji wa umma pekee, huku watu binafsi waliojilimbikizia mali wakibaki huru.

“Wako watu binafsi waliojilimbikizia mali pengine wamezipata kwa kuuza dawa za kulevya au njia nyingine zisizo halali, watu hawa pia wafikie mahali pa kuchunguzwa ili waeleze walikozipata mali hizo,” alisema Kikwete.

Alisema wakati wa uhuru kipindi cha utawala wa chama kimoja cha siasa, maadili yaliwakataza watumishi wa umma kumiliki mali, kutumia madaraka vibaya, kujipatia mali na kupata mali kwa njia ya rushwa, lakini akasema kubadilika kwa mfumo wa siasa kutoka katika Azimio la Arusha na sasa mfumo wa soko huru kumetoa ruhusa kwa watu kumiliki mali.

“Hivyo kupitia mfumo huo, watu wote wakiwamo watumishi wa umma wameweza kumiliki mali, lakini tunachosema si kumiliki mali, hoja ni umezipataje mali hizo?”

Rais Kikwete alisema kazi ya Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma ni kuwachunguza watumishi wote wa umma kwa kuwataka kujaza fomu za kutaja mali zao na jinsi walivyozipata na kusisitiza kuwa sekretarieti hiyo imeamuriwa kuanza kufuatilia ukweli wa kilichojazwa katika fomu hizo.

Rais alisema bado kuna watumishi wadanganyifu ambao hawatoi taarifa sahihi hivyo ni lazima kufuatiliwa.

Alisema japokuwa urejeshaji wa fomu za matamko ya watumishi wa umma umeonyesha kuongezeka kutoka watumishi 6,007 sawa na asilimia 76.8 hadi kufikia watumishi 8,465 sawa na asilimia 94 lakini kiwango hicho hakitoshi inapaswa kufikia asilimia 100.

Ili kufikia lengo hilo, Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma imetakiwa kuwashirikisha wananchi katika kutambua mali za viongozi na jinsi walivyozipata.

Kwa upande wake, Mwenyekiti Baraza la Maadili ya Umma, Jaji mstaafu Damian Lubuva alimwomba Rais Kikwete kuwa mkali na kuwachukulia hatua watumishi wa umma wanaobainika kuvunja maadili ili kujenga imani na baraza hilo kwa wananchi.

Mwaka jana, Baraza hilo lilipokea malalamiko 41 na kati ya hayo, 24 yalibainika kuwa ya ukweli na wahusika walichukuliwa hatua za kinidhamu.
**********************************************************

Napata taabu sana kuelewa JK anamaanisha kwani sidhani kama Sekretariati yenyewe imeweza kutekeleza majukumu ya msingi iliyotakiwa kufanya. Mpaka sasa tumeona viongozi wa juu Serikalini wakishindwa ama kukataa kutaja japo mali wanazomiliki lkn hawachukuliwi hatua yoyote!!

Chanzo cha habari: JK: Watu binafsi wachunguzwe na Sekretariati ya maadili ya umma
 
"Wako watu binafsi waliojilimbikizia mali pengine wamezipata kwa kuuza dawa za kulevya au njia nyingine zisizo halali, watu hawa pia wafikie mahali pa kuchunguzwa ili waeleze walikozipata mali hizo," alisema Kikwete.

Alisema wakati wa uhuru kipindi cha utawala wa chama kimoja cha siasa, maadili yaliwakataza watumishi wa umma kumiliki mali, kutumia madaraka vibaya, kujipatia mali na kupata mali kwa njia ya rushwa, lakini akasema kubadilika kwa mfumo wa siasa kutoka katika Azimio la Arusha na sasa mfumo wa soko huru kumetoa ruhusa kwa watu kumiliki mali.

"Hivyo kupitia mfumo huo, watu wote wakiwamo watumishi wa umma wameweza kumiliki mali, lakini tunachosema si kumiliki mali, hoja ni umezipataje mali hizo?"

Rais Kikwete alisema kazi ya Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma ni kuwachunguza watumishi wote wa umma kwa kuwataka kujaza fomu za kutaja mali zao na jinsi walivyozipata na kusisitiza kuwa sekretarieti hiyo imeamuriwa kuanza kufuatilia ukweli wa kilichojazwa katika fomu hizo.

Rais alisema bado kuna watumishi wadanganyifu ambao hawatoi taarifa sahihi hivyo ni lazima kufuatiliwa.

Alisema japokuwa urejeshaji wa fomu za matamko ya watumishi wa umma umeonyesha kuongezeka kutoka watumishi 6,007 sawa na asilimia 76.8 hadi kufikia watumishi 8,465 sawa na asilimia 94 lakini kiwango hicho hakitoshi inapaswa kufikia asilimia 100.

Ili kufikia lengo hilo, Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma imetakiwa kuwashirikisha wananchi katika kutambua mali za viongozi na jinsi walivyozipata.

Kwa upande wake, Mwenyekiti Baraza la Maadili ya Umma, Jaji mstaafu Damian Lubuva alimwomba Rais Kikwete kuwa mkali na kuwachukulia hatua watumishi wa umma wanaobainika kuvunja maadili ili kujenga imani na baraza hilo kwa wananchi.

Mwaka jana, Baraza hilo lilipokea malalamiko 41 na kati ya hayo, 24 yalibainika kuwa ya ukweli na wahusika walichukuliwa hatua za kinidhamu.
**********************************************************

Napata taabu sana kuelewa JK anamaanisha kwani sidhani kama Sekretariati yenyewe imeweza kutekeleza majukumu ya msingi iliyotakiwa kufanya. Mpaka sasa tumeona viongozi wa juu Serikalini wakishindwa ama kukataa kutaja japo mali wanazomiliki lkn hawachukuliwi hatua yoyote!!

Chanzo cha habari: JK: Watu binafsi wachunguzwe na Sekretariati ya maadili ya umma

Hao wakubwa walioundiwa chombo hawajawahi kuchunguzwa na kama walichunguzwa ni fake uchunguzi sasa mnaingiza wadogo ili muwaonee. Shame!!!!!!!!
 
anouther corruption avenue... paved and street lights in place!!! hao wachunguzaji ndio wanaotutesa huku mitaani
 
wakishajulikana ni wezi nini kitafwata?????????kama sio upuuzi mwingine wa jk
 
Sasa wachunguzwe kwa sheria ipi wakati sheria imeainisha ni watu wa kada flani (viongozi) tume iwachunguze. Jamani mimi nachoka kabisa
 
venance george, kidatu
rais jakaya kikwete ametaka marekebisho yanayofanywa katika sheria ya maadili ya utumishi wa umma, yatumike pia kuwabana matajiri wasio watumishi wa umma ili kujua kama mali walizo nazo wamezipata kihalali au la.

Akizungumza katika hafla fupi ya kufunga mafunzo ya upelelezi na uchunguzi kwa maofisa 50 wa sekretarieti hiyo iliyofanyika katika chuo cha maofisa wa polisi kidatu, morogoro jana alisema hatua hiyo itawezesha watu binafsi kuchunguzwa.

Aliitaka sekretarieti ya maadili ya utumishi wa umma kuingiza kipengele kitakachoipa nguvu kuchunguza mali za watu binafsi wakiwamo wafanyabiashara katika sheria inayofanyiwa mapitio.

Alisema sheria ya sasa inawabana watendaji wa umma pekee, huku watu binafsi waliojilimbikizia mali wakibaki huru.

"wako watu binafsi waliojilimbikizia mali pengine wamezipata kwa kuuza dawa za kulevya au njia nyingine zisizo halali, watu hawa pia wafikie mahali pa kuchunguzwa ili waeleze walikozipata mali hizo," alisema kikwete.

Alisema wakati wa uhuru kipindi cha utawala wa chama kimoja cha siasa, maadili yaliwakataza watumishi wa umma kumiliki mali, kutumia madaraka vibaya, kujipatia mali na kupata mali kwa njia ya rushwa, lakini akasema kubadilika kwa mfumo wa siasa kutoka katika azimio la arusha na sasa mfumo wa soko huru kumetoa ruhusa kwa watu kumiliki mali.

"hivyo kupitia mfumo huo, watu wote wakiwamo watumishi wa umma wameweza kumiliki mali, lakini tunachosema si kumiliki mali, hoja ni umezipataje mali hizo?"

rais kikwete alisema kazi ya sekretarieti ya maadili ya utumishi wa umma ni kuwachunguza watumishi wote wa umma kwa kuwataka kujaza fomu za kutaja mali zao na jinsi walivyozipata na kusisitiza kuwa sekretarieti hiyo imeamuriwa kuanza kufuatilia ukweli wa kilichojazwa katika fomu hizo.

Rais alisema bado kuna watumishi wadanganyifu ambao hawatoi taarifa sahihi hivyo ni lazima kufuatiliwa.

Alisema japokuwa urejeshaji wa fomu za matamko ya watumishi wa umma umeonyesha kuongezeka kutoka watumishi 6,007 sawa na asilimia 76.8 hadi kufikia watumishi 8,465 sawa na asilimia 94 lakini kiwango hicho hakitoshi inapaswa kufikia asilimia 100.

Ili kufikia lengo hilo, sekretarieti ya maadili ya utumishi wa umma imetakiwa kuwashirikisha wananchi katika kutambua mali za viongozi na jinsi walivyozipata.

Kwa upande wake, mwenyekiti baraza la maadili ya umma, jaji mstaafu damian lubuva alimwomba rais kikwete kuwa mkali na kuwachukulia hatua watumishi wa umma wanaobainika kuvunja maadili ili kujenga imani na baraza hilo kwa wananchi.

Mwaka jana, baraza hilo lilipokea malalamiko 41 na kati ya hayo, 24 yalibainika kuwa ya ukweli na wahusika walichukuliwa hatua za kinidhamu.
**********************************************************

napata taabu sana kuelewa jk anamaanisha kwani sidhani kama sekretariati yenyewe imeweza kutekeleza majukumu ya msingi iliyotakiwa kufanya. Mpaka sasa tumeona viongozi wa juu serikalini wakishindwa ama kukataa kutaja japo mali wanazomiliki lkn hawachukuliwi hatua yoyote!!

chanzo cha habari: jk: Watu binafsi wachunguzwe na sekretariati ya maadili ya umma
hiyo tume yenyewe imeundwa na mafisadi asa kesi ya ngedere unampelekea nyani ha ha ha ha wangewka projector tukaona wanafanyiwa interview kama wenzetu juz..ili tujue uwezo wa watendaji wa tume ya maadili,isiwe tume ni ya kurutubisha wizi wa mali za umma
 
Na ww nahisi ni mchicha mwiba !

Jk ni mtu wa ajabu kweli, du! Hivi huyu jamaa hana washauri? Ina maana hiyo secretariate imefanya kazi nzur sana mpaka ionekane iongezewe tena majukumu mengine. Hii secretariate ni kati ya taasisi za serikali zinazolipwa hela za walipa kodi bure bila kuwepo kitu cha maana wanachokifanya. Hivi tutaacha lini huu ujinga wa kuwa utitiri wa regulatory authorities which are useless such this, PCCB, EWURA, SUMMATRA, TFDA, TBS, DPP, TISS etc. Naomba wale wanazi wa JK na CCM watuambie hiyo secretariate imefanya nini cha maana tangia iundwe, ni viongozi wangapi wamekamatwa wameikuka maadili na kufikishwa mahakamani? Kila siku tunaona jinsi maadili ya viongozi wetu yanavyoporomoka wakime marais Jk na mwanaye, Mkapa, mawaziri, katibu wakuu, wabunge, wakurugenzi nk, lakini hatujawahi kuambiwa wamekamatwa. Nimesikitishwa sana na hii hotuba ya jk. Bora angesema hii secretatriate naivunja na kuwaachisha kazi watendaji woote since they are not productive, and are eating taxpayers money innappropriately. I am tire of illusions!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
God bless this land
 
sioni jipya hapo......................sheria za ufisadi zipo wazi kabisa hazihitaji kuongezewa nakshi..........................mtoa na mpokea rushwa njia yao huwa moya.............................wote ni watuhumiwa wa uhalifu........................awe serikalini au nje ya serikali anapaswa kuchunguzwa............sidhani kurekebisha sheria ya maadili ya viongozi wa umma inahitaji marekebisho yoyote ya kuwajumusiha watu wasio ndani ya ajira serikalini.................hizo ni kazi zina taasisi zake yaani Takukuru....................But I have always find JK's lack of brain power truly astonishing.........................
 
Venance George, Kidatu
RAIS Jakaya Kikwete ametaka marekebisho yanayofanywa katika Sheria ya Maadili ya Utumishi wa Umma, yatumike pia kuwabana matajiri wasio watumishi wa umma ili kujua kama mali walizo nazo wamezipata kihalali au la.

Akizungumza katika hafla fupi ya kufunga mafunzo ya upelelezi na uchunguzi kwa maofisa 50 wa sekretarieti hiyo iliyofanyika katika Chuo cha Maofisa wa Polisi Kidatu, Morogoro jana alisema hatua hiyo itawezesha watu binafsi kuchunguzwa.

Aliitaka Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma kuingiza kipengele kitakachoipa nguvu kuchunguza mali za watu binafsi wakiwamo wafanyabiashara katika sheria inayofanyiwa mapitio.

Alisema sheria ya sasa inawabana watendaji wa umma pekee, huku watu binafsi waliojilimbikizia mali wakibaki huru.

“Wako watu binafsi waliojilimbikizia mali pengine wamezipata kwa kuuza dawa za kulevya au njia nyingine zisizo halali, watu hawa pia wafikie mahali pa kuchunguzwa ili waeleze walikozipata mali hizo,” alisema Kikwete.

Alisema wakati wa uhuru kipindi cha utawala wa chama kimoja cha siasa, maadili yaliwakataza watumishi wa umma kumiliki mali, kutumia madaraka vibaya, kujipatia mali na kupata mali kwa njia ya rushwa, lakini akasema kubadilika kwa mfumo wa siasa kutoka katika Azimio la Arusha na sasa mfumo wa soko huru kumetoa ruhusa kwa watu kumiliki mali.

“Hivyo kupitia mfumo huo, watu wote wakiwamo watumishi wa umma wameweza kumiliki mali, lakini tunachosema si kumiliki mali, hoja ni umezipataje mali hizo?”

Rais Kikwete alisema kazi ya Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma ni kuwachunguza watumishi wote wa umma kwa kuwataka kujaza fomu za kutaja mali zao na jinsi walivyozipata na kusisitiza kuwa sekretarieti hiyo imeamuriwa kuanza kufuatilia ukweli wa kilichojazwa katika fomu hizo.

Rais alisema bado kuna watumishi wadanganyifu ambao hawatoi taarifa sahihi hivyo ni lazima kufuatiliwa.

Alisema japokuwa urejeshaji wa fomu za matamko ya watumishi wa umma umeonyesha kuongezeka kutoka watumishi 6,007 sawa na asilimia 76.8 hadi kufikia watumishi 8,465 sawa na asilimia 94 lakini kiwango hicho hakitoshi inapaswa kufikia asilimia 100.

Ili kufikia lengo hilo, Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma imetakiwa kuwashirikisha wananchi katika kutambua mali za viongozi na jinsi walivyozipata.

Kwa upande wake, Mwenyekiti Baraza la Maadili ya Umma, Jaji mstaafu Damian Lubuva alimwomba Rais Kikwete kuwa mkali na kuwachukulia hatua watumishi wa umma wanaobainika kuvunja maadili ili kujenga imani na baraza hilo kwa wananchi.

Mwaka jana, Baraza hilo lilipokea malalamiko 41 na kati ya hayo, 24 yalibainika kuwa ya ukweli na wahusika walichukuliwa hatua za kinidhamu.
**********************************************************

Napata taabu sana kuelewa JK anamaanisha kwani sidhani kama Sekretariati yenyewe imeweza kutekeleza majukumu ya msingi iliyotakiwa kufanya. Mpaka sasa tumeona viongozi wa juu Serikalini wakishindwa ama kukataa kutaja japo mali wanazomiliki lkn hawachukuliwi hatua yoyote!!

Chanzo cha habari: JK: Watu binafsi wachunguzwe na Sekretariati ya maadili ya umma

Utakataje matawi ya mti bila kuukata mzizi Kama nia ya kweli ni kuuteketeza!!?.Hawa viongozi walipo Serikali ni wangapi wameshashughulikiwa!?Adhabu zenyewe jela miaka2 wakati mtu kaiba mabilioni ya walipakodi!!huu ni unafiki wa waziwazi anaouonyesha raisi Jakaya kikwete dhidi ya raia wake na hapa nikisema JK anajuana na hao wezi(wahujumu uchumi)nntakuwa nnakosea!???
 
JK huwa hafikirii nini cha kuongea anapokuwa kwenye hadhira! Chochote kinachomjia kichwani huwa anakiongea bila kufanya tathmini ya faida ama madhara ya anachoongea. Nakumbuka issue ya Maaskofu na biashara ya madawa ya kulevya ilivyomletea tafrani mpaka Ikulu ikawa inatoa maelezo yasiyo na kichwa wala miguu.

Kama ni washauri wake wanaomshauri hivyo ni bora awatimue wote abaki na waliomsaidia kupiga kampeni mwaka 2010.
 
TAKUKURU, DPP, TISS, na POLISI wana kazi gani mpaka kuwaongezea majukumu hiyo tume ambayo haijaweza kuchukulia kiongozi yoyote (tangu kuundwa kwake) hatua juu ya wizi au viongozi wetu wote ni safi? Ataleta mgongano wa kiutendaji tu kuna idara ambazo zinawajibika kufanya hayo ila hazifanyi suala ni kufukuza wote wanaopaswa kufanya hayo na hawafanyi
 
Venance George, Kidatu
RAIS Jakaya Kikwete ametaka marekebisho yanayofanywa katika Sheria ya Maadili ya Utumishi wa Umma, yatumike pia kuwabana matajiri wasio watumishi wa umma ili kujua kama mali walizo nazo wamezipata kihalali au la.

Akizungumza katika hafla fupi ya kufunga mafunzo ya upelelezi na uchunguzi kwa maofisa 50 wa sekretarieti hiyo iliyofanyika katika Chuo cha Maofisa wa Polisi Kidatu, Morogoro jana alisema hatua hiyo itawezesha watu binafsi kuchunguzwa.

Aliitaka Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma kuingiza kipengele kitakachoipa nguvu kuchunguza mali za watu binafsi wakiwamo wafanyabiashara katika sheria inayofanyiwa mapitio.

Alisema sheria ya sasa inawabana watendaji wa umma pekee, huku watu binafsi waliojilimbikizia mali wakibaki huru.

“Wako watu binafsi waliojilimbikizia mali pengine wamezipata kwa kuuza dawa za kulevya au njia nyingine zisizo halali, watu hawa pia wafikie mahali pa kuchunguzwa ili waeleze walikozipata mali hizo,” alisema Kikwete.

Alisema wakati wa uhuru kipindi cha utawala wa chama kimoja cha siasa, maadili yaliwakataza watumishi wa umma kumiliki mali, kutumia madaraka vibaya, kujipatia mali na kupata mali kwa njia ya rushwa, lakini akasema kubadilika kwa mfumo wa siasa kutoka katika Azimio la Arusha na sasa mfumo wa soko huru kumetoa ruhusa kwa watu kumiliki mali.

“Hivyo kupitia mfumo huo, watu wote wakiwamo watumishi wa umma wameweza kumiliki mali, lakini tunachosema si kumiliki mali, hoja ni umezipataje mali hizo?”

Rais Kikwete alisema kazi ya Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma ni kuwachunguza watumishi wote wa umma kwa kuwataka kujaza fomu za kutaja mali zao na jinsi walivyozipata na kusisitiza kuwa sekretarieti hiyo imeamuriwa kuanza kufuatilia ukweli wa kilichojazwa katika fomu hizo.

Rais alisema bado kuna watumishi wadanganyifu ambao hawatoi taarifa sahihi hivyo ni lazima kufuatiliwa.

Alisema japokuwa urejeshaji wa fomu za matamko ya watumishi wa umma umeonyesha kuongezeka kutoka watumishi 6,007 sawa na asilimia 76.8 hadi kufikia watumishi 8,465 sawa na asilimia 94 lakini kiwango hicho hakitoshi inapaswa kufikia asilimia 100.

Ili kufikia lengo hilo, Sekretarieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma imetakiwa kuwashirikisha wananchi katika kutambua mali za viongozi na jinsi walivyozipata.

Kwa upande wake, Mwenyekiti Baraza la Maadili ya Umma, Jaji mstaafu Damian Lubuva alimwomba Rais Kikwete kuwa mkali na kuwachukulia hatua watumishi wa umma wanaobainika kuvunja maadili ili kujenga imani na baraza hilo kwa wananchi.

Mwaka jana, Baraza hilo lilipokea malalamiko 41 na kati ya hayo, 24 yalibainika kuwa ya ukweli na wahusika walichukuliwa hatua za kinidhamu.
**********************************************************

Napata taabu sana kuelewa JK anamaanisha kwani sidhani kama Sekretariati yenyewe imeweza kutekeleza majukumu ya msingi iliyotakiwa kufanya. Mpaka sasa tumeona viongozi wa juu Serikalini wakishindwa ama kukataa kutaja japo mali wanazomiliki lkn hawachukuliwi hatua yoyote!!

Chanzo cha habari: JK: Watu binafsi wachunguzwe na Sekretariati ya maadili ya umma

Aanze yeye kwanza kutoa uthibitisho wa nyumba ya Ursino Estate aliijenga kwa hela za namna gani halafu mengineyo yafuate halafu aseme mtumishi wa umma anayesomesha watoto Kamuzu Academy, Malawi anapata wapi hela hizo badala ya kuwasomesha shule za kata.
 
TAKUKURU, DPP, TISS, na POLISI wana kazi gani mpaka kuwaongezea majukumu hiyo tume ambayo haijaweza kuchukulia kiongozi yoyote (tangu kuundwa kwake) hatua juu ya wizi au viongozi wetu wote ni safi? Ataleta mgongano wa kiutendaji tu kuna idara ambazo zinawajibika kufanya hayo ila hazifanyi suala ni kufukuza wote wanaopaswa kufanya hayo na hawafanyi

Hvi VIJISENTI aliishia wapi vile?
 
Grand corruption and big bussiness more often than not are two sides of same coin ,Bussiness becomes a conduit to luander the spoils of high corruption. The question is do we have institutional capacity and will to fight corruption ? Answer is definate NO.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom