JK vunja baraza Zima la mawaziri si kufukuza mawaziri 8 tu

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Nadhani kila mmoja ameona mapungufu ya ujumla ya baraza la mawaziri, hivyo kitendo cha Wabunge kutaka mawaziri 8 tu kujiuzulu si cha maana kwa mazingira ya sasa.

kama jk anataka mabadiliko ya kiutendaji wa baraza la mawaziri basi hana budi kuvunja baraza lote la mawaziri na kuunda tena na si kuweka viraka viraka.
 
Back
Top Bottom