Jk utaweza kuuza umeme kweli kwa mtindo huu

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
2,569
499
Haya nilipo umeme umeshalaza mpaka kesho asubui alafu eti jana Gamba kuu anasema tutaiuzia south africa umeme.hahahaha siasa bwana naitamani sana ila naogopa kuwa muongo wa waziwazi yani kuahidi kuwa na umeme wa kututosha mpaka kuiuzia south africa au nchi nyingine umeme ni sawa na kuahidi mabomba kutoa maziwa nchi nzima
 
Siyo mbaya wakati mwingine kuwa na ndoto za alinacha ambazo kwa kitaalam zinaitwa
mental mechanism, zinasaidia kumpa relief. Ni sawa na mtu anayeota kujenga maghorofa
wakati mfukoni hana hata pesa ya daladala.

Mwacheni mkuu aridhishe moyo wake
 
Back
Top Bottom