JK Utajificha na Makinda Atafunika Madhambi kwa Wananchi - Dhambi Hazifichiki..Dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Utajificha na Makinda Atafunika Madhambi kwa Wananchi - Dhambi Hazifichiki..Dowans

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Feb 11, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mpaka leo tunaona mbinu na jitahada za kuficha kila kosa na madhambi walioyafanya na wanayotaka kufanya lakini Wananchi na Chadema - Tutaendelea kupamba na kupinga CCM kokote duniani. Huu sio mwisho na hatuendi kokote kule. Daima Watanzania ni Washindi na Wakakamavu. Tunajua kuna wale wananchi wadhaifu na wasio na elimu ni raisi kufuata upepo na ujinga wa ccm. Ufahamu ni huu ccm wanataka kujilipa Dowans kama walivyojilipa kutumia mikataba hewa viwandani na migodini. Wizi upo na unaendelea katika awamu ya wizi wa kura.

  Wanachoogapa ni nini Chadema Kushika Kamati Bungeni na kuingia serikalini?

  Sijawahi kuona wananchi wa Taifa lao wakiwaogopa wananchi wenzao kuongoza Taifa lao.

  Makinda kwa vitisho na tactics za miguu ya kuku "aunda kamati rasmi ya upinzani" Maana ya kamati rasmi ya upinzani ni nini? According to Makinda, JK, CCM na Mafisadi ni Kulinda Siri Walizonazo. Wanajua Rasmi kwamba "Chadema Sio Chama cha Lelemama kama Haya Majambazi" Makinda alichokifanya Hatutasahau kamwe na hii seriakali ikiianguka "Makinda na Mafisadi Wote Jela Keko"

  "Mapambano Ndio Yameiva Sasa Serikali, Bunge na Mikoani"
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :banplease:
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::frusty:
   
 4. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hakuna kulalal ata wakifanyaje wananchi hatulali hizi ni zama mpya mambo ya chama dola yamepitwa na wakati. CHADEMA OYEE. Wananchi tuko nyuma yenu hadi kieleweke!
   
Loading...