JK utahonga hadi lini..?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
tumesikia ulipoenda USA kuhudhulia kikao cha baraza la usalama, ulipanga pia kuongea na watanzania waishio huko kama ilivyo ada. nao walikuwa kwa hamu wanakusubiri wakuonyeshe msimamo wao kuhusu udhaifu wako wa kiutendaji hasa kimaamuzi kuhusiana na masuala mazito yanayoitafuna Nchi, baada ya kupata habari ulitumia mbinu zenu chafu, ili usiaibike. BW S. RWEYEMAMU tupe ukweli kuhusu hilo.
 
Awali ulitaka kunichanganya kuhonga nini kidogo niseme hayo sasa madharau kwa rais wetu kumbe unamananisha amehonga ili kuziba midomo watu waliotaka kuongea nae ili wampe dukuduku lao lakini akabadili ratiba baada ya kuona angenuka.
 
tumesikia ulipoenda USA kuhudhulia  kikao  cha  baraza la  usalama,  ulipanga  pia kuongea  na watanzania waishio  huko kama  ilivyo  ada. nao  walikuwa  kwa  hamu  wanakusubiri  wakuonyeshe msimamo wao kuhusu  udhaifu wako  wa  kiutendaji  hasa  kimaamuzi  kuhusiana  na masuala  mazito  yanayoitafuna  Nchi, baada  ya  kupata  habari  ulitumia mbinu  zenu  chafu, ili  usiaibike. BW  S. RWEYEMAMU  tupe  ukweli kuhusu  hilo.
 
tumesikia ulipoenda USA kuhudhulia  kikao  cha  baraza la  usalama,  ulipanga  pia kuongea  na watanzania waishio  huko kama  ilivyo  ada. nao  walikuwa  kwa  hamu  wanakusubiri  wakuonyeshe msimamo wao kuhusu  udhaifu wako  wa  kiutendaji  hasa  kimaamuzi  kuhusiana  na masuala  mazito  yanayoitafuna  Nchi, baada  ya  kupata  habari  ulitumia mbinu  zenu  chafu, ili  usiaibike. BW  S. RWEYEMAMU  tupe  ukweli kuhusu  hilo.

ulkuwa unaandka au unachora?
 
una kizibitisho au unaongea kujaza posti huku. Siwalioenda huko kuongea na JK wote walilipa kukutana naye na wakaacha shuhuli zao kwenda hapo. Au unazania maisha US ni kama bongo watu wanalipwa kwa masaa sasa masaaa waliyoenda kujirusha na JK hawakulipwa wao ndo walilipa huo muda kukutana na mzee wa kaya. Nazani wale waliandaa maandamano hewa hata walishindwa kulipa kuingia kumpinga mzee wa kaya hata wangetuletea picha nazani hao ndo wanawakilisha umasikini wa bongo huko kwenye land ya opportunities. Bora hata tungepeleka mbuzi huko wale majani ya GM foods waneenepe tungewarudisha tungewala sikukuu. Walioleta uzushi wa kuongwa hao nadhani hawana hata viza za kuwa huko, alafu wangefurukutaje. Hao wanasubiriwa kudipotiwa tuuu.
 
Kina nani waliohongwa? Kama unamaanisha lile kundi la Mwingereza, hakuna kitu pale, wasanii watupu.
 
yana mwisho tu, tumeona mangapi na wangapi wanahaibika?? sema apitepite uholanzi kwemnye kuzulula kwake make mda si mrefu tutampeleka!
 
tumesikia ulipoenda USA kuhudhulia kikao cha baraza la usalama, ulipanga pia kuongea na watanzania waishio huko kama ilivyo ada. nao walikuwa kwa hamu wanakusubiri wakuonyeshe msimamo wao kuhusu udhaifu wako wa kiutendaji hasa kimaamuzi kuhusiana na masuala mazito yanayoitafuna Nchi, baada ya kupata habari ulitumia mbinu zenu chafu, ili usiaibike. BW S. RWEYEMAMU tupe ukweli kuhusu hilo.
mpaka atakapoondoka madarakani
 
kwani ilikuwa ni lazima aende dikota? Sifa zingine za kijinga tu. Jk ananikumbusha jamaa mmoja tulisoma nae boarding. Huyu bwana alikuwa na tabia ya kulia msosi bwenini, na walimu wanakataza hilo. Sasa jamaa atafanya njia hadi aende bwenini na chakula, hata kama ni nusu saa baadae na chakula kimeganda kwa kupoa.
Ndicho alichofanya jk kwa kutuingiza gharama za kipuuzi kisa kuhudhuria hiyo dikota yao
 
Back
Top Bottom