JK uso kwa uso na Gbagbo Leo: Kama anasema................!

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Leo Abidjan: Kama anasema ' mzee mzima nilikubipu kupitia kwa Membe... Sisi ni kitu kimoja....haina maana tugombane'

GO9G6692.JPG
 
Hivi ameenda kufanya nini? au kaenda kuongeza ujuzi wa kuongoza nchi bila idhini ya wananchi?
 
ameenda kumwambia aanzishe swala la udini na kwamba dini flani haimtakii mema ili atawale milele yeye,mkewe na wanae
 
Mi pia najiuliza jamani,nini malengo ya hiyo ziara? wenye taarifa plz
 
Back
Top Bottom